... hii nadhani kama sio ni Bar, basi ni ukumbi flani wa starehe ndani ya Arachuga, kwa mtu anaefahamu hapo mahali em naomba anijuze kidogo japo 'asili' tu ya hili jina, manake kuna jamaa...
Huyu kijana huwa ananigusa mno na mashairi yake...hii imepelekea kubaki na maswali mengi kichwani kila ninaposikia nyimbo zake, je inawezekana....??
Ila hapana, kuna kila dalili akawa na zaidi...
Wana jf,habarini! Ninatafuta copy za movie hizi za kinaijeria ambazo ziliwahi kuwa maarufu enzi zile,1) The Girls hostel na Disguise,nimejaribu kutafuta kwenye baadhi ya maduka hapa moshi...
Mahindano ya tikisa dance yalifanyika jana na washindi kujishindia zawadi za mamilioni. aidha mashindano hayo yalihusisha watu upiga kura kwa njiaya kutuma ujumbe mfupi wa maneno...
Katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye...
Joe Frazier dies aged 67
Joe Frazier, the relentless slugger who became the heavyweight champion of the world and earned boxing immortality with three epic battles against Muhammad Ali, has...
Mr. Walker - by Mighty Sparrow
She ugly yes, but she wearing them exspensive dress
The People say she ugly, but she father full a money
Oh Lord Mamma, woy woy
Good morning Mister Walker
I...
Kama unakumbuka hichi Kitu kilichokuwa kinaitwa Mume wangu Jerry Bofya hapo Down Udownload na kusikia
http://likembe.net/Sounds/Mume%20Wangu%20Jerry%20-%20DDC%20Mlimani%20Park%20Orchestra.mp3...
Beauty queen who dreamed of becoming a nun is crowned Miss World - as angry protesters picket pageant
Winner Miss Venezuela was orphaned at eight and spent five years in a home run by nuns...
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
Naamini wanaJF wengi mshasikiliza nyimbo ya NWO BABY REMIX wa2 wengi wametia mpaka kwenye cmu.Kinachonishangaza mshikaji kasampo nyimbo za SAIDA KAROLI ''Maria Salome'' na wabongo wanaiona kama...
eid ndo hii tushaianza.karibuni washikaji...maisha yenyewe ndo haya haya na raha jipe mwenyewe.maisha matamu lakini mafupi.tupo hapa ttc chang'ombe kama vipi njoo tusherehekee eid.yaani hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.