wakuu nimemkumbuka sana mtu anaitwa willson peter na mdogo wake george peter na bendi ya less wanyika
kwa kweli ningefurahi sana kama ningeweza kuonyeshwa jins ya kudownload miziki yao
Mr Bean actor Rowan Atkinson has been taken to hospital after his 230mph McLaren F1 supercar hit a tree. The Blackadder star is believed to have suffered a shoulder injury in the crash on the...
JAMANI kwa walioshuhudia FIESTA ya mwaka huu pale LEADERS CLUB.
Hivi hawa wasanii wetu wanafkiria huwa tnaenda kushosha miko au kusikiliza na kutazama kazi zao?
Kila anayeingia na background...
Habari wana jf.nauliza kama kuna mwenye details kuhusu walipo hawa waigizaji wa futuhi.Kafuku,Msukuma, Chiko.nilikuwa nawazimia sana kwenye vichekesho vyao.lakini kwa sasa hawaonekani tena startv.
"Mama's Just A Little Girl"
Young mothers
That's right
I feel ya (hey)
I know how it is
(MAMA's JUST A LIL' GIRL)
Don't nobody understand
I feel ya
[Verse 1: Tupac]
She was ..
Born A...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta soundtracks zilizotumika kwenye muvi ya sarafina. Nimepata chache sana kwa kusearch online isitoshe nyingi zipo more modified. Kama kuna mtu yoyote anaweza...
nimependa video yake ni mzuri sana, ila bado sijajua hii ni tv show au series na iko kwa upande up zaidi yaani sports, fashion, drama, comed, au ni nini? nimeona youtube na imeandikwa kuwa...
Kumbe wee Babu uko juu sana hadi Koffi Olomide akaimba wimbo kukufagilia....
Sawa bana, sisi wengine ngoja tukale tu Mihogo pale Kambi ya Fisi ndani ya Arusha, mitaa ya kwetu...
Hebu angalia na...
Ni Tamasha ipi inayofana zaidi kuliko zingine kati ya Sebene/ Bolingo na Tamasha la Hip Hop au RnB kwa wanamuziki wanaotoka nje wakisindikizwa na wasanii kutoka nchini? Mi naona za Sebene zinafana...
...na ole wao wasanii wote wanafiki wanaotumiwa na ruge ili kurudisha nyuma harakati zetu kwa njaa zao...tumewaachia kwa muda mrefu lakini sasa its enough,nao ni kuwachana tu ili tuwachoreshe kwa...
Redio Clouds wanatangaza kuwa kwenye show lao Leaders Club linaloendelea saa hizi kuna ulinzi wa uhakika pamoja na polisi wana ulinzi wa wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ.
Hii imekaaje...
Jamani Watanzania Aibu hawa wasanii wetu vipi?Hawawezi kuimba live?Mbona wanaiba kwa Cd halafu sauti mbaya sana,CLOUDS hamuoni hili ama na nyie ni kama serikali ya Ccm?AIBU TUPU.
Ndugu yangu ruge na aka joseph kwanza nawapongeza kw ajuhudi zenu ni kweli mnajitahdi
kwenye ujasiriamali na natumaini mungu anawabariki na aendelee kuwabariki wazo langu na ombi
ni kwamba...
Leo nilikuwa namskiliza Mh. Sugu na jinsi nlkuwa namskiliza katika mchango wake katika wizara ya mambo ya ndani! Na ndpo nlpokubali kuwa wanabongo flavour n wakali kwenye kila idara hata siasa.