Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

I have just finished re-ripping all my CDs (about 1300) into a 400gb of .wav files. So nikapata idea ya kutengeneza listi ya "Nyimbo za taifa"; jina ambalo tuliziita zile nyimbo zilipendwa sana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Download link hii hapa dondosha then usikie Free File Hosting Made Simple - MediaFire
0 Reactions
0 Replies
898 Views
khabari zenu wakuu,ningependa kubadilishana mawazo na watu wanaojua na wanaopenda kupiga guitar. Natanguliza shukran zangu kwa wataojitokeza
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nafikiri Ruge unajua nini maana ya Copytrights kwenye Music, Demo, Sound track, audio, video nk. Kitendo cha redio Clouds ambayo wewe ni mmiliki wake kutumia sauti ya Sugu kwenye matangazo ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Huwa si mpenzi wa hizi tamthilia, lakini hii imenikamata ingawa inaonyeshwa usiku sana. Kumbe Wakorea ni wakali.....ITV siku za j5, alhamisi na ijumaa saa 5:30 usiku!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu mlio kuwepo tujuzeni,nani alikuwa mshindi kati ya hao wawili huko mbeya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wimbo wa Tip top Connexion. Naomba aliye nao atuwekee hapa jamvini tuburudike.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Za jioni waungwana, naombeni msaada wa website ambazo ni rahisi kudownload muvz mana kila nikijaribu nakutana na ugumu sana... jioni njema.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajua nini? laif bongo miyeyushoo,baada ya kusafa long taim nini hatimaye juzi asubuhi kitabu changu cha kijani wamekichafua pale ubalozini.sir God hamwachi mja wake..ci unajua? laif la hapa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani naomba mtu yeyote mwenye ule wimbo wa FRANK-RAPHAEL au anaejua nnapoweza kuupata anipatie au anijulishe!! Asante...
1 Reactions
14 Replies
375 Views
Habari zilizo nifikia hivi punde ni kuwa, Kama ilivyotarajiwa hatimaye mbunge wa mbeya mjini kwa tiketi ya CDM bwana Sugu sasa ameanza kampeni rasmi ya kulisifia na kulitangaza tamasha la Fiesta...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
YouTube - ‪Sugu akiisifia Fiesta‬‏ Video ya Sugu aliyoitengeneza Marikani miaka mitatu iliyopita ikiwa kama promotion ya Fiesta wakati huo imeibuliwa na kufanyiwa editing ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Mbeya mjini, aka Sugu ameandaa Tamasha kubwa litakaloshirikisha wasanii mbalimbali km Mchizi Mox, Mkoloni, Adili na wengineo wengi kwenye viwanja vya Rwanda Nzovwe. Kiwanja ambacho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inanipatia wasiwasi kuwa diwani wa Mbeya mjini amekiuka msimamo wa Mbunge wake Mh Joseph Mbilinyi kuwa Fiesta chini ya Clouds Fm hawatakwenda Mbeya kwa madai kuwa ni Mafisadi na wahujumu miradi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
...................., you read my mind, girl i wanna shake you down, i can give you all the loving you need, come on 'n let me take you down, we'll go all the way to heaven!! you read my...
0 Reactions
4 Replies
937 Views
Nimeangalia video fupi ya Isha Mashauzi katika blog ya John Kitime Muziki muziki nakubaliana na Kitime kuwa Isha kaleta changamoto mpya. Kushiriki kwenye show na dancers wake ni jambo jipyaaaaa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba kujua yupo wapi mtangazaji aliyetamba kwa vipindi vya burdani katika redio ndugu julius nyaisanga.yeyote anayejua anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekaa sehem napata flash back za congo. Nawasikiliza kabasele, mabelee, boziana, defao, wenge n.k. Ni nyimbo tamu sana ambazo ziko kwenye collection. Najiuliza, zile enzi zimeenda wapi? Sasa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ni kitu rahisi sana tembelea bongowap.hexat.com uandike jina la wimbo wowote uutakao moja kwa moja utaingia kwenye simu yako buree kabisa na mavitu mengine mengi
0 Reactions
5 Replies
18K Views
Hebu kumbuka enzi zile za La Paloma Jazz, Cuban Marimba, Morogoro Jazz, Les Cubano, Vina vina Orchestra,nuta jazz,vijana jazz,sikinde, Sukari Jazz, Kilombero Jazz, Malinyi Jazz, Kwiro Jazz...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…