Wana JF, mnafahamu maneno aliyoyasema Mhesimiwa "sugu" kule musoma, sasa kauli yake hiyo binafsi sikuipenda kwani muziki ni ajira ambayo haifungamani na siasa, imewasiadia vijana wengi kupata...
Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai.
Bongo fujo na Bongo bishoo...
Timu ya Soka ya waigiza Filamu hapa nchi jana ktk uwanja wa Taifa imepokea kipigo cha goli 2-0 toka kwa timu ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya.
Wakicheza bila nahodha wao Amri Athuman ama...
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kusikia kitu kikisifiwa na kulandana na sifa hizo, si kingine bali ni hii tamthiliya changa. Nimeisikia ikitangazwa kwenye clouds media na kupewa sifa. Nilidhani ni...
Waheshimiwa, kwa yeyote mwenye habari, ninaomba kujua wale jamaa walioanzisha Maisha Plus mbona hawasikiki tena kuendeleza walichokianzisha kwa faida ya vijana wetu kuexperience maisha ya...
Wangoni ni kama Wanyamwezi.
Video zao kuzipata ni shida saana maana kila uchaguzi mnachagua .................
Umeme wala vitu kama YOUTUBE ni vya shida sana. Ila kuna mtu alifanikiwa kuchukua...
Pana wakati nikiwa nimekuja kutembelea jamaa zangu pale Dar, nilialikwa na binamu yetu ambaye amezaliwa na kukulia Dar uswahilini na kashakuwa kama Mzaramo.
Siku hiyo alikuwa anatoa wajukuu zake...
Wabongo bana....masikio yenu yalikuwa Simba na Yanga....muwe mnaangalia na ukwelini majuu kuna nini....
Jana ndio ilikuwa Grammy awards....kule LA majuu....
Mchizi wangu Marshall Mathers kabeba...
Muandaaji wa Miss. Utalii 2011 ni Ndugu Chipungahelo.
Huyu jamaa hana historia nzuri katika uandaaji wa mashindano na concert mbali mbali. Mnaokumbuka, ameshawatapeli wasanii chungu nzima...
jamani wakuu,, samahanini, pengine ni uelewa wangu mdogo ama sijui ni vipi,, lakini ningelitamani sana kujua maana hasa ya nyimbo za huyu jamaa,,, nimejitahidi mara nyingi kurudia kusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.