Wakuu kwa wale wapenzi wa series huyu mtu nafikiri mtakuwa mnamkubali sana, maana bila yeye naamini PB isingekuwa tamu kama ilivyokuwa.
Jamaa amerudi tena using the same name and th same role...
wadau habar yenu bhana. Ebana mie kama mdau wa mziki huwa na guswa sana na hii style ya uchezaj mzik aina ya viduku,ningependa kufaham historia yake ilipotokea na ni nan alieileta hapa bongo
Pengine zinafurahisha lakini staili na ubunifu Zero...naangalia hizi filamu zetu za nyumbani..mara namsikia mwongozaji akiongea "live" weee ondoa pikipiki yako hapa..akimtaka mwendesha pikipiki...
Jamani ninafilamu yangu ya ASALI Chachu
Imeibwa katika Mazingira ya kutatanisha Huku ikisambazwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, sasa naomba Wadau msaada wenu kuiBlock na...
ASIAN Diplomats' Culture Forum will co-host the 2011 Asian Film Festival starting from April 15-24 at the New World Cinema in Dar es Salaam.
At least ten countries are expected to participate in...
Sifa ya moyo tamaa, moyo sifa yake kutamani
Tamaa ya moyo, inaweza kukuweka matatani
Unatamani kuzaa, wakati bado uko shuleni
Tumia akili kukataza, kabla hujawa matatizoni
Ile ndoto ya...
Lazima kuheshimu wahenga zetu kwa matambiko
uzungu wako acha hukohuko Marekani
Starring: Barbarao, Amadina Lihamba na Samahani Kejeri
Movie: Maangamizi - The Ancient One
Wana JF,naomba maoni yenu kuhusu hili. wote wameimba na ku-ghani,aina ya beat ni moja.huyu kaimba "mjomba" mwingine kaimba "shangazi"
*muanzilishi wa tungo alikuwa MPOTO.
*akafuatia MPOKI...
kilimtoka kocha wa timu ya Real Madrid ya Hispania pale alipoalikwa kwenye kipindi cha televisheni na kufanyiwa manjonjo ya kila namna na mrembo aliyekuwa amevaa nusu uchi.
Kocha wa timu ya Real...
wana JF naombeni tushirikiane ktk hili, tuzo za kili music ziliasisiwa na Marehemu James Dandu,yeye ndiye aliwatafuta wadhamini na kabla ya hapo kulikuwa hakuna kitu ambacho wasanii wetu walikuwa...
Wadau kuna nyimbo 1 ya taarabu huwa inawekwa na tbc, hii taarabu ni safi sana na mijimama inayoimba
Wamenona, mimi nakuanzieni baadhi ya vipande na mwenye video yake atuwekee
"tanesco ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.