Salaam wakuu!
Wadau/Wapenzi wa hawa ndugu zangu naomba namba za simu au naweza kuwaona wapi nikiwa DAR week hii?Nataka niwape mawazo yangu,
Natanguliza shukurani,:dance:
RE.
HABARI jamani nataka kupata vuze plus with serial keys jamani nataka kudownload free movies and games......
Jingine wanajf.. Naomba website za kuweza kupata gamez za magari kama most wanted and...
huu wimbo uligongwa enzi hizo za sherehe yangu kubwa ya pili (Kufunga ndoa) si mnakumbuka sherehe ya kwanza ni kuzaliwa? Nasikitika tu nimebakiza sherehe moja tu (kufa) hakika huu wimbo...
Sandy beaches, crystal clear water and a calm ambience; Seychelles is a perfect honeymoon destination for the future King and Queen of England. Will and Kate are heading to the most exotic island...
Tarehe 11 May 2011 ni miaka thelathini tangu Bob Marley afariki. Wengi wanakubaliana kwamba bila ya Bob Marley muziki wa reggae usingefika ulipofika leo hii. Nakumbuka siku ya kifo cha Bob kama...
Not everybody knows how to work
my body
Knows how to make me want it
Boy you stay up on it
You got that something that keeps me so off balance
Baby youre a challenge, lets explore your...
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za kiswahili kwenye Youtube kwa muda mrefu sasa, lakini kusema ukweli, ingawa nimepata nyimbo zingi zilizo nzuri sana, nyimbo zote ambazo nimezisikia mpaka sasa kwa...
Aaaahh, saa nyingine mada zikizidi kwa kweli zinaboa hasa pale wachangiaji wenyewe wanapokosa cha kuchangia. Sio vibaya kama tuthave fun kidogo hadi jumapili jioni.
Naam hapo juu naona...
Ya nini malumbano
http://www.youtube.com/watch?v=EhLMPL8PY6E&feature=player_embedded#at=155
Asha ngedere
http://www.youtube.com/watch?v=Uwb8Hx-3IbU&feature=related
Kwenye hii video nimegundua...
As previous reality show on big brother Africa, we expect much of Nudity, heavy drinking, Smoking and all kind of stuffs....what do we learn out of all these?
"Haugen aged 37, Ghana-House...
Guys i have lost my external drive with lots of my stuffs, i only need one thing from you, if you have the best reggae collection please share it with me in here, reggae is my life, my joy, my...
Hii ni court injunction against Lime wire the download torrent ya siku nyingi sana.....The question is who will be the next? Africa tutapona? tutaweza Ku-afford genuine products like softwares etc!
Habari kwa ufupi radio TBC FM saa 10:00 alfajili leo: Crew member (sio mwigizaji) wa kundi la vichekesho la orijino komedi ya TBC1 amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki iliyotokea maeneo ya Kimara...
Wadau mabibi na mabwana,
Naomba mnifanyie thathmini ya kazi yangu katika video hapa chini. Ni tangazo fupi la TV. Sijahusika kutengeneza sauti katika tangazo hili, nimehusika katika visual part...
Lyrics to Let's Go Dancing :
Ooh la la la, let's go dancin',
Ooh la la la, reggae dancin'.
Ooh la la la, let's go dancin',
Ooh la la la, let's go dancin'.
I went down to the park -...
Kwale wenzangu tulio mbali! at list sasa kuna radio ya bongo on-line.. even though clouds ndio walewale but .......
sikiliza clouds hapa Radio Clouds FM - Wavuti
mi nimejuwa leo... kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.