Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

YouTube - Jennifer Hudson - Spotlight
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, mnafahamu maneno aliyoyasema Mhesimiwa "sugu" kule musoma, sasa kauli yake hiyo binafsi sikuipenda kwani muziki ni ajira ambayo haifungamani na siasa, imewasiadia vijana wengi kupata...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
ReverbNation Player
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai. Bongo fujo na Bongo bishoo...
0 Reactions
24 Replies
16K Views
MSANII BORA WA KIKE- MWASITI MSANII BORA WA KIUME- ALLY KIBA MWIMBAJI BORA WA KIUME-20%
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Timu ya Soka ya waigiza Filamu hapa nchi jana ktk uwanja wa Taifa imepokea kipigo cha goli 2-0 toka kwa timu ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya. Wakicheza bila nahodha wao Amri Athuman ama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kusikia kitu kikisifiwa na kulandana na sifa hizo, si kingine bali ni hii tamthiliya changa. Nimeisikia ikitangazwa kwenye clouds media na kupewa sifa. Nilidhani ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waheshimiwa, kwa yeyote mwenye habari, ninaomba kujua wale jamaa walioanzisha Maisha Plus mbona hawasikiki tena kuendeleza walichokianzisha kwa faida ya vijana wetu kuexperience maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa ambao ni wapenzi wa Music...........its time to Watch.................
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Wangoni ni kama Wanyamwezi. Video zao kuzipata ni shida saana maana kila uchaguzi mnachagua ................. Umeme wala vitu kama YOUTUBE ni vya shida sana. Ila kuna mtu alifanikiwa kuchukua...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Pana wakati nikiwa nimekuja kutembelea jamaa zangu pale Dar, nilialikwa na binamu yetu ambaye amezaliwa na kukulia Dar uswahilini na kashakuwa kama Mzaramo. Siku hiyo alikuwa anatoa wajukuu zake...
0 Reactions
25 Replies
17K Views
wakuu kuna movie inaitwa "day of the jackal" naomba sana mwenye kufahamu namna naweza kui-download anifahamishe jamani. ni movie ya kitambo kidogo!
0 Reactions
3 Replies
635 Views
What is the best keyboard that a beginner like me will fit?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wabongo bana....masikio yenu yalikuwa Simba na Yanga....muwe mnaangalia na ukwelini majuu kuna nini.... Jana ndio ilikuwa Grammy awards....kule LA majuu.... Mchizi wangu Marshall Mathers kabeba...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
HAPPY VALENTINE KWA WAPENDANAO NA KWA WAPENZI WA MUZIKI WA JAZZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muandaaji wa Miss. Utalii 2011 ni Ndugu Chipungahelo. Huyu jamaa hana historia nzuri katika uandaaji wa mashindano na concert mbali mbali. Mnaokumbuka, ameshawatapeli wasanii chungu nzima...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani wakuu,, samahanini, pengine ni uelewa wangu mdogo ama sijui ni vipi,, lakini ningelitamani sana kujua maana hasa ya nyimbo za huyu jamaa,,, nimejitahidi mara nyingi kurudia kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…