Mimi huwa napenda kuangalia kipindi cha michezo cha Runinga ya Star Tv kwani kwa maoni yangu huwa wana habari za kina kuliko Runinga nyingine za Bongo. Jana kwenye kipindi hicho ambacho hurushwa...
Huwa nalazimika kufuatili matangazo ya Bongo Star search tangu yaanzishwe si kwa sababu ya ubora wake lakini kutokana nayale ambayo huwa nayashuhudia na pengine mkumbo ...wa familia.!Kama ni...
For skype users like me this is what happened
arlier today, we noticed that the number of people online on Skype was falling, which wasnt typical or expected, so we began to investigate...
BENDI kongwe ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma inasaka mwimbaji atakayechukua nafasi ya mwimbaji na kiongozi wa bendi hiyo, Muhidin Maalimu Gurumo ambaye ni mgonjwa.
Meneja wa Msondo Said...
MSANII mahiri wa muziki wa taarabu nchini, Hussein Mohamed 'Hammer Q', ameanza rasmi kazi ndani ya kundi la Five Star kwa kuibuka na wimbo wake mpya uitwao 'Kazi na Dawa'.
Hammer Q ambaye alianza...
Mtazamaji anawatumia salaam members wooooooooooooote
Get up, stand up: stand up for your rights! X 3
Get up, stand up: don't give up the fight!
Preacherman, don't tell me,
Heaven is under the...
wana jf ktk hili la burudani nampongeza dogo ALLY KIBA kwa kufanya vizuri ktk nyimbo mpya aliyoshirikiana na R KELLY ndani ya chikago,kitu kipo powa,huwezi amini kama ni yule ALLY KIBA WA...
Katika hali tata Majaji wa Bongo star search Rita na Salama pamoja na Mmoja kati ya washiriki wa top5 MWINYI wamegeuza wimbo wa AMOR wa Msanii Kasimu Wa tiptop kuwa wa Baby Madaha, lichaya Master...
Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa.
Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!
Umati ni mkubwa uliohudhuria shughuli za kumpa heshima za mwisho mwanamuziki maarufu hapa nchini Hayati Ramadhani Mtoro maarufu kama Dakta Remmy.
Ni majonzi, vilio na simanzi vilitawala...
Nimekaa kwenye Luninga kwa takribani saa nzima nikiangalia kipindi cha nyimbo bora 2010 kinachorushwa na Star TV, cha ajabu nyimbo zote ninazoziona zinazungumzia mapenzi tu mwanzo mwisho, ina...
Marehemu Abou Semhando 'Baba Diana' enzi za uhai wake. Hapo ilikuwa katika show ya Old Skul viwanja vya Karimjee ambapo wakongwe wa muziki walikusanyika kutumbuiza...
Wakati nikisikiliza taarifa ya habari ITV Chidumule akiwa msibani kwa Dr. Remi Ongala alipewa nafasi ya kuongea chochote. Alisema kuwa marehemu alikuwa mwanamuziki mahili lakini alikuwa hatembei...
Nadhani Miaka hii bado nilikuwa natumia visoda kufanya hesabu za kujumlisha na kutoa
Malaikaaaaaaa Nakupendeeeeeeee Malaikaaa
I shall sing sing my song lallalaaaaaa...
Christmas is both a sacred religious holiday and a worldwide cultural and commercial phenomenon. For two millennia, people around the world have been observing it with traditions and practices...
Nilipokea kwa masikitiko sana kifo cha kipenz cha wengi Dr Remmy Ongala. Kuna ki2 bado sijakijua vzr kuhusu wasifu wake hv! alikuwa na u Dr wa nn? au lilikuwa jana 2? Mwenye kujua vzr wasifu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.