Kwa wapenzi wa wa tasnia ya vichekesho, kuna komedi ya TBC na ile ambayo imeanza pale EATV, kwa mtazamo wangu akina Joti wa TBC wameshaanz kupwaya ukilinganisha na hawa jamaa ambao wamekuja kwa...
Shindano la kumsaka superstar wa bongo wa muziki linafikia tamati leo huku kukiwa na uwezekano wa mzungu joseph pyne ambaye zaidi amekua akitamba na wimbo wa "malumbano/ msongamano" kuibuka...
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.
RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo...
Wasanii wetu( Music, Video) bado wanakazania kuuza CD. Muelekeo unaonyesha mauzi ya ya CD yanazidi kupungua sababuya furana teknolojia mbali mbali zinazoibuka kama
Internet na Online...
WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja.
Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata...
Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji na wafuatiliaji wa Mlimani pamoja na vikundi vingine vya muziki nchini,kwa bahati mbaya bado sijakisikia kibao cha Mlimani(TENDE HALUA HALUA) kilichopigwa 'full...
RICHIE SPICE
The Old Testament's Book of Job considered the Bible's most profound and scholarly work, addresses the significance of unwavering faith as it relates the tribulations endured by a...
Huu ni ushauri wa bure kwa wasanii wa mziki,movies kwa Tanzania.
Nimekuwa nikifuatilia kilio cha wasanii hao kwamba wamekuwa hawanufaiki na kazi zao hasa baada ya watu kuzitumia ama bila...
Jamani wana jf,hususani wale wa upande wa sports&Entertainment,umefika wakati sasa wa kuwapongeza wanamuziki wetu vijana pale wanapofanya vizuri hata kama wewe sio mshabiki wa mwanamuziki huyo...
Wakuu,ni wazi kuwa kila mmoja huvutiwa na muziki.Hapa chini ni orodha ya nyimbo 10 nazozipenda sana. Hebu shusha hapa list yako na wewe.
1.Another day (Phill Colins)
2.Trapped in the closet...
Wanajamvi
lets share 10 best movies according to our view tulizotazama ambazo utapendekeza au utapenda great thinkers wote waitafute na kuitazma.
Orphan (2009)
Eyes Wide shut (1999)- Tom...
Sad and lonely Elton, by his secret brother who hates his music and hasn't spoken to the star in 20 years
By Jane Fryer
Last updated at 12:40 AM on 4th December 2010
Comments (27)
Add to My...
wana JF hembu tudiscuss kidogo, au nyie wenzangu mlilionaje hili? zile nyimbo bomba za bongo flava zikizoonyesha mustakabli nzima wa maisha yetu kwa viongozi tunaowachagua hazikupigwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.