Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Wadau mwenzenu nimeachwa nyuma sijui kwa sababu huwa siangalii Ze Komedi ya akina Masanja. Hebu mnifahamishe tafadhali; Kiduku ni kitu gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa wa tasnia ya vichekesho, kuna komedi ya TBC na ile ambayo imeanza pale EATV, kwa mtazamo wangu akina Joti wa TBC wameshaanz kupwaya ukilinganisha na hawa jamaa ambao wamekuja kwa...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Shindano la kumsaka superstar wa bongo wa muziki linafikia tamati leo huku kukiwa na uwezekano wa mzungu joseph pyne ambaye zaidi amekua akitamba na wimbo wa "malumbano/ msongamano" kuibuka...
0 Reactions
97 Replies
12K Views
Mwenye MP3 ya huo wimbo pls anaweza nipm pls
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo. RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo...
0 Reactions
219 Replies
35K Views
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wasanii wetu( Music, Video) bado wanakazania kuuza CD. Muelekeo unaonyesha mauzi ya ya CD yanazidi kupungua sababuya furana teknolojia mbali mbali zinazoibuka kama Internet na Online...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja. Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwakilishi wa Tanzania na Mshindi wa pili wa Tusker Project Fame,Peter Msechu ametua Bongo na yupo Live Clouds FM.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji na wafuatiliaji wa Mlimani pamoja na vikundi vingine vya muziki nchini,kwa bahati mbaya bado sijakisikia kibao cha Mlimani(TENDE HALUA HALUA) kilichopigwa 'full...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RICHIE SPICE The Old Testament's Book of Job considered the Bible's most profound and scholarly work, addresses the significance of unwavering faith as it relates the tribulations endured by a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chinese - Bar Acrobatic
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wa bure kwa wasanii wa mziki,movies kwa Tanzania. Nimekuwa nikifuatilia kilio cha wasanii hao kwamba wamekuwa hawanufaiki na kazi zao hasa baada ya watu kuzitumia ama bila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wana jf,hususani wale wa upande wa sports&Entertainment,umefika wakati sasa wa kuwapongeza wanamuziki wetu vijana pale wanapofanya vizuri hata kama wewe sio mshabiki wa mwanamuziki huyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu,ni wazi kuwa kila mmoja huvutiwa na muziki.Hapa chini ni orodha ya nyimbo 10 nazozipenda sana. Hebu shusha hapa list yako na wewe. 1.Another day (Phill Colins) 2.Trapped in the closet...
1 Reactions
79 Replies
37K Views
Dailymotion - ful21vj0g3e - a Funny video
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi lets share 10 best movies according to our view tulizotazama ambazo utapendekeza au utapenda great thinkers wote waitafute na kuitazma. Orphan (2009) Eyes Wide shut (1999)- Tom...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Sad and lonely Elton, by his secret brother who hates his music and hasn't spoken to the star in 20 years By Jane Fryer Last updated at 12:40 AM on 4th December 2010 Comments (27) Add to My...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana JF hembu tudiscuss kidogo, au nyie wenzangu mlilionaje hili? zile nyimbo bomba za bongo flava zikizoonyesha mustakabli nzima wa maisha yetu kwa viongozi tunaowachagua hazikupigwa sana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…