Leo nimeona watoto street wakipita kupiga vile vingoma vya daku ikanikumbusa long time uswazi tulivipiga kinoma. Nimekumbuka baadhi ya mistari ya enzi hizo......embu cheki....;
Scania, wani wani...
Japo Kim sio Beyonce siku hizi, lakini blogu za Kikenya hazijasita kuwajia juu ma promoter wao kwa kushindwa kuwaletea wasanii kama wa Tanzania wanavyosababisha.
Lil Kim to Rock Tanzania...
Nyimbo hizi huwa zinanipeleka mbali sana....:)
Haya kazi kwenu weekend ndiyo imeanza, kivumbi na jasho mnywe, mcheze kwa furaha...life is too short you need to have good times too...:)
Mixtape maarufu hapa nchini inayokwenda kwa jina la AntiVirus yenye nyimbo zaidi ya nane zilizoimbwa na wasanii mbalimbali wanaojipambanua kama wapambanaji dhidi ya wizi wa kazi za wanamuziki wa...
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso...
Wakuu habari
Naomba wenye link za online radio aswa zenye kupiga miziki yenye asili ya kiafrika wa-post link zake hapa. Nimekuwa nikisikiliza radio moja "http://www.soukousradio.com/" inapiga...
kwa wapenzi wa tamthiliya,
naombeni mnijuze jamani tamthiliya ya impostara inayorushwa na Star Tv iliendelea vp jumapili? mana sikuangalia siku hiyo.
vp sara(vanesa mpya) amemtambua ndugu yake...
Buriani sikinde ngoma ya ukae
- mwanzo ilikuwa kama utani pale redio mbao zilipoanza kutangaza kwamba wamiliki wa bendi ya mlimani park orchestra wana sikinde ngoma ya ukae, shirika la...
Sasa hivi africa nzima wanamuziki wa nigeria
wanatamba.....
Sasa mimi huwa najiuliza hivi kwa nini hawatambi dunia nzima?????
I mean sijawahi sikia labda p square ft snoop hivi
au j martin ft...
kwanza niwapongeze wasanii wetu wa filamu kwa juhudi zao za kuendelea tasnia ya filamu katika bongo yetu.wanajitahidi kwa kweli. lakini kuna kitu kinachoniboa katika muvi zetu hizi, na ni ishu...
Nani aliesema shakira ndo bingwa wa kusakata mauno in ze weldi?? tazama vitu anavyofanya dogo huyu, Ray C kafunikwa kabisaa hivi akikua itakuaje?? shakira cha mtoto hahahahahahhah
hivi movie za bongo waga wanaandika script kweli?angalia hii hapa hata dk ya tano haijaisha tayari ujinga umeonekana...sikiliza kwanza utambulisho tu...miaka 25 na mwingine 24 hivi kweli ndo...
Miracle escape at Brands Hatch
Mon Jul 19 11:30AM
Drivers and marshalls alike made a miraculous escape at Brands Hatch after a racing car flew out of control and flipped over crash barriers...
With just a few hours to go before the launch of Big Brother Africa: The Revolution, speculation is widespread about where the new housemates could be flying in from.
Fans live you from all over...
Ile show ya mwanamuziki mahiri wa Burundi, "Kidumu", imekuwa sabotaged.
Nawasiliana na waandaaji wa show hiyo leo baadaye ili niupate mkanda wote, kisha nitapost hapa kesho, muone jinsi "The Don"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.