WAPENDWA,
najitokeza hapa kuwaalika kuitizama mechi ya MEXICO VS FRANCE saa tatu unusu usiku ambapo sisi fans wa jf tumeomba na kukubaliwa kuichambua mechi hiyo kabla na baada ya mechi!
tumeamua...
Wakuu......Majuzi wakati wa tamasha la utangulizi wa WC pale SOWETO kuna jamaa anaitwa TUMI MOLEKANE alipanda kumpa support SHAKIRA na kuimba naye wimbo wa Hips Don't Lie............Jamaa...
Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na...
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these...
Hawa jamaa wa makhirikhiri ni mafano wa kuigwa, tunahitaji tuwe na vikundi vya sanaa za asili ambavyo vimejitangaza kimataifa ili waweze kupata mialiko ya nje kuutangaza utamaduni wetu kama hawa...
"Detour of Real Love" ama "Njia Ndefu ya Penzi la Dhati" ni tamthilia mpya ya radio ambayo imeandaliwa kwa ufundi mkubwa ili kuwapa burudani wapenzi wa tamthilia za radio wenye hamu ya kupata...
Aliyekuwa mmiliki wa Band ya chuchu sound na Mkurugenzi wa chuchu radio Yusuph Chuchu amefariki dunia jana jijini Nairobi, mazishi yana fanyika leo visiwani Zanzibar. R.I.P Babu chuchu!!
Yusuph...
EA tv wameanza kusaka comedian(s) wapya watakao chukua gepu lililoachwa na akina Joti na kundi lake ambao waliwakimbia EA tv na kujiunga na TBC kwa sababu dhahiri kabisa ya mkwanja mnono zaidi...
Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili
Angalia hapa wavuti - Video.
(Orijino komedi na mtu mzito)
Shukrani ziwafikie wavuti - Home
Just for those interested, you can watch freemovies online through the link:
Watch Free Movies Online - Free Movies Action, Documentary, Cartoon, Animation, thriller, Horror, Comedy, Sci-fi...
DJ Muba ni DJ maarufu anayetikisa mkoa wa Iringa na Tanzania ila ni DJ mpole aliyetaka kuzichapa na msanii chipukizi Diamond
Mshindi wa tuzo za Kilimanjaro 2010 Diamond (jukwani...
Mimi ni miongoni mwa waTanzania wengi tunaopenda kuangalia filamu zetu za hapa Bongo lakini wengi wetu tunakatishwa tamaa na maudhui ndani ya filamu hizo. Nyingi zimejaa mambo ya anasa, majumba na...
Kwa wale wapenzi wa Jack Bauer...mkali wa ngumi za hatari ndani tamthilia maarufu duniani ya 24...leo usiku mtapewa masaa 2 kushuhudia mwisho wa tamthilia hiyo iliyochezwa kwa miaka 9 ikiwa...
Brittany Murphy's husband found dead
By Alan Duke, CNN
Los Angeles, California (CNN) -- The widower of actress Brittany Murphy was found dead at his California home just five months...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.