Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Jamani mwenye jingles za RTD tafadhali sana naomba unisaidie kuzipata.
1 Reactions
92 Replies
30K Views
NYEMO CHILONGANI. UCHAWI WA BILIONEA BAZOKA. 0718069269 Ndiyo kwanza mwanga wa asubuhi ulikuwa ukitokeza, watu waliokuwa wakifanya kazi sehemu za mbali, wakaamka na kuanza kujiandaa kwenda...
10 Reactions
575 Replies
98K Views
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia. Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives...
28 Reactions
535 Replies
115K Views
Nitakuwa naweka hapa nyimbo za kitanzania ambazo mashairi yake ni ya busara na ya kizalendo kuanzia mwaka 1960 hadi leo. Jisikie free kuweka za kwako pia; nitaanza na nyimbo za 1960-1970 halafu...
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Shout out to dogo dizasta vina kwa hit nyimbo kali sana, Sanaa flow etc. Hii hapa, sikiliza ngoma kali sana. Hakika u feminist ni janga
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hope wote mko salama,na kwa anaumwa basi maombi yangu yapo juu yake Kumekua na wimbi na kampeni kubwa inayosema KATAA NDOA, Leo katika kujituliza nikaona ngoja nimsikilize dizasta maradona...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
RIWAYA: WAKALA WA SIRI Mtunzi; Robert Heriel 0693322300 Episode 01 MAABARA YA BORETI. Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya...
14 Reactions
311 Replies
81K Views
SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥...
13 Reactions
71 Replies
16K Views
MWANAHERI BINTI WA KIJAKAZI 1 MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP:0688156169 MWANAHERI Ni binti alielelewa na mzazi wake mmoja ambae Ni mama yake baada ya baba yake mzazi kufariki miaka mitano...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Alieangalia hii series asimulie visa vya mulee,,,humu kumejaa usalitiii ,mapenzi,,yaan ni vurugu tupu ,wenzetu wanajua kuigizaa Nimeumia yule Lincoln kuuawa jamani,ningependa awe hadi mwisho wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
[emoji625]Indiana jones and the dial of destiny. imeachiwa leo baada ya kukaa cinema kwa zaidi ya mienzi miwili. Indiana jones ni moja kati ya movie kali za muda wote kwenye upande wa Adventure...
2 Reactions
5 Replies
873 Views
DIZASTA VINA FT CONBOI. Hii ndio collabo ambayo naisubiri sana kwenye game la Hip hop sijui itakuwaje. 🔥🔥🔥
3 Reactions
4 Replies
327 Views
Salaaam wakuu wa JamiiForums, Tarehe 10/12/2023 kulikuwa na uzinduzi wa taasisi ya professorjay foundation ambayo lengo lake kuu ni kukusanya michango kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wa figo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
YouTube leo imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. --- YouTube imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. Upanuzi huu...
1 Reactions
4 Replies
470 Views
Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify.. Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa...
3 Reactions
2 Replies
894 Views
MAHI DIHA [emoji23][emoji3590] MTUNZI: PATRICIA ANTONY SEHEMU YA: 01 [emoji91] MAWASILIANO: 0783642467 ANZA NAYO......... "Unajua nini swaiba katika watu nimekutana nao halafu nikawazoea...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
FEMI (play boy) [emoji3590][emoji174] MTUNZI: PATRICIA ANTONY SEHEMU YA: 01 MAWASILIANO: 0783642467 Anza nayo..... Femi kijana fulani hivi machachali ambaye shida anaisikia tu kwa wengine...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KWAAJILI YAKO MAIMUNA [emoji24] MTUNZI: PATRICIA ANTONY SEHEMU YA: 01 MAWASILIANO: 0783642467 ANZA NAYO......... Rehema mwana mama wa miaka 63 aliyejaaliwa watoto wawili wakike na wakiume...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom