Jf member,
Let's do this for funny,for entertainment just to enjoy ourselves and those we admire,love and like.
Tuweke lyrics za nyimbo mbalimbali unazozipenda itakuwa ni vizuri zaidi kama...
Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa...
Wimbo wa ‘One Love Groove’ ni wito wa upendo, umoja na mshikamano kati ya watu. Kwa lugha nyepesi, unatuonyesha kuwa tunaweza kuishi kwa amani na kufurahia utamaduni wetu licha ya tofauti zetu...
Nimeamini kila eneo wana vitu vyao vinavyowapa raha na vibe la kufa mtu. Kama nyie Dar mnavibe na akina "Chino wanna man" basi huenda Shinyanga wanavibe na "Ngosha Bhudhagala".
Kutana na huyu DJ...
Hello, JamiiForums.
So nimejaribu kuunda Remix ya hii nyimbo yangu pendwa kwa 2023, Mshindi yake Appy.
Please Enjoy ✌🏾
Maoni pia yanakaribishwa.
https://youtu.be/01_m_sADtbA?si=vc0G7z02l3zm32SP
This is the list of my best 10 hip hop lyricists of All time.
1. Nas
2. Kool G Rap
3. Immortal Technique
4. Rakim
5. Ice Cube
6. KRS-1
7. Big Pun
8. Eminem
9. Jay Z
10. Scarface
Honourable...
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.
Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models...
Recently kumekuwepo na mfumuko wa Diss Tracks nyingi sana kwenye game ya Hip-Hop, but Diss tracks ambazo zimeweza kupata umaarufu mkubwa sana kwasasa ni Diss record ya Drake kwenda kwa Meek Mill...
HAbari ndugu zangu natanguliza pole na majukumu mbalimbali mungu awatie nguvu.
Mimi ni daktari(medical doctor) nilietokea uswazi changanyikeni so nayajua matatizo mbalimbali yanayotusibu mtaani...
Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie.
Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana...
Wakuu nimekuwa nikifatilia hiki kipindi kinaitwa HAWAVUMI LAKINI WAMO kinarushwa na luninga moja maarufu kwa lengo la kujipima ili namimi siku moja niwe mtajika ktk eneo hili.
Kwa wale wenye...
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Natafuta wadau wa kushirikiana nao kuendesha shindano la WATU wenye sura mbaya Tanzania mkoa wa Dar es salaam. Fomu zinapatikana BUREE. Mshindi atapatiwa...
Wakuu nimetafuta humu kwenye entertainment sijabahatika kuona threads za games humu.
Hapa nazungumzia michezo ya kwenye simu ,computers, hata board games migumu zaidi (mind games) iliyopo duniani...
Kuna nyimbo kadhaa nikisikiliza naweza nisijue ametamka nini huyo msanii mpaka inaweza chukua hata miezi au zaidi ndo nakuja kuelewa kilichotamkwa,
Kwa mfano kuna nyimbo nilikuwa nasikiliza...
Hii ni nyingine tena,
Ni Bongo Records tena,
P Funk
KIITIKIO
Ni gheto langu tu,
Linalowachengua maduu,
Linaloniweka kwenye chati za juu,
Kijitonyama mpaka East Zoo,
Ni gheto langu tu...
Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki...
Baada ya simba kutoa sare leo uwanja wa nyumbani, zile nyuzi za kuikebehi na kuiponda yanga zimepungua kama hazijamalizika kabisa.
Matokeo ya mpira wa miguu huja tofauti na matarajio ya wengi...
Wana jamvi kama inavyosomeka hapo juu nina shida ya huu wimbo wa Kassim Mganga, aliuimbaga kitambo kidogo na nimejaribu kuutafuta katika sites mbali mbali lkn nimeukosa, aliyekuwa nao naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.