Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Zamani hip hop ndiyo ilidominate charts maredioni mpaka mitaani...enzi za kina prof j, Afande sele, Ngwea nk. Leo hii amapiano, Bongofleva (copy za kinaijeria) na singeli ndio zinadominate...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi...
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Ni aibu kwa msanii mkubwa kama Ally Kiba .... kupata nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni simulizi inayohusu familia, mapenzi, kazi na safari ya maisha kwa ujumla. Ungana na mimi katika simulizi hii….. SEHEMU YA KWANZA TANZANIA 1995 “Pushhhhhh!!!!!” “Mrs Hernad jitahidi sukuma...
4 Reactions
27 Replies
9K Views
Sehemu ya Kwanza. Ilikuwa ni taarifa mbaya, iliyoshtua ambayo ilianza kwa kusikika katika sehemu mbalimbali jijini Las Vegas nchini Marekani kabla ya kuwafikia polisi. Kila aliyezisikia taarifa...
19 Reactions
253 Replies
46K Views
Nyota ya mkali wa Bongo Flava, Ali Saleh au Alikiba imeendelea kung'ara kwenye soka baada ya wi mbo wake wa Huku kutumiwa mazoezini na klabu ya Liverpool ya Uingereza. Hii ni siku chache baada...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
MISS MY DAWGS 🔥 Lil Wayne and YG Man, I miss my dawgs The ones I pick up for, ain't never missed a call Plotting to get it popping, we had plans to get it all Wishing you was here, dawg, to...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 >>>>>>>>>>>>>>>>>>> Episode 01 <<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<< Akajitazama kwenye...
5 Reactions
58 Replies
18K Views
Rigobert Bamundele (28 Agosti 1955 - 26 Oktoba 2023), maarufu kama Rigo Star, alikuwa mpiga gitaa na mtunzi wa soukous kutoka Kongo. Alicheza na makundi kadhaa maarufu ya soukous na muziki wa...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Habari wanajamvi Naomba mnisaidie kwa wale wataalam wa Series (tamthilia) wanijuze series gani kali ( kuna visa, mikasa, ngumi, mapenzi, usaliti, visasi, visa mafunzo) isiyochosha wala kukinai ...
2 Reactions
231 Replies
33K Views
60: Bushoke - Mume Bwege 59: Bwana Misosi - Nitoke Vipi 58: Mr Nice - Fagilia 57: Joslin - Niite Basi 56: J.I - Kidato Kimoja 55: TMK Wanaume - Dar Mpaka Moro 54: 2 berries - Na Wewe...
9 Reactions
28 Replies
9K Views
Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
1 Reactions
6 Replies
480 Views
Kenya wameanza hizi Mambo kitambo , huu wimbo maarufu wa malaika asili yake ulitungwa na mtanzania Adam Salim Ila Kuna mkenya enzi hizo bwana fadhili William anadai Ni wake c kweli, hii kiswahili...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Tuambie list ya Bongo fleva kuanzia 2010 kushika chini unazozikubali. Lady jaydee machozi na Damu. Mwanafa Yalaiti Diamond platnumz kamwambie. Niambie wewe?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeweka nyimbo 4 za wapiga solo tofauti kwahiyo unaweza kudownload kusikiliza na kuamua kwako nani mkali. 1. Dally Kimoko 2. Diblo Dibala 3. Nene Tchakou 4. Saladin Twende kazi
4 Reactions
121 Replies
9K Views
Habari wana jamvi? Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na...
8 Reactions
141 Replies
6K Views
Mwenye nao msaada please
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom