Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi. Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa 1.RAY C 2.Q-CHIEF 3.BANANA ZORRO 4.LADY JAYDEE 5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI...
2 Reactions
7 Replies
334 Views
  • Poll Poll
Breaking bad 9.5 Game of thrones 9.4 Hizi ni kwa mujibu wa rate za IMDB je wew kama mdau ipi kwako ni kalii sana
4 Reactions
126 Replies
5K Views
Woooooow!,I miss those days! 1.Bozi boziana - Mwana Mawa 2.Pepe Kalle - Gerant 3.Lucien Bokilo - Anne Missette 4.Lucien Bokilo - Djoukende 5.Madilu - Biya 6.Le General Defao - Madova 7.Le...
1 Reactions
3 Replies
822 Views
NDOA YANGU INANITESA Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani...
5 Reactions
43 Replies
10K Views
Mtunzi Ally Katalambula Sehemu ya 01 SIKUJUA kama nina kipaji cha mpira wa miguu, hadi watu wa pembeni walipoanza kunieleza hivyo. Mtu wa kwanza kuniambia nina kitu miguuni mwangu, alikuwa ni...
19 Reactions
374 Replies
83K Views
Uzi huu ni maalum kwa ajili wa waandishi na wapenzi wa kusoma mashari kuja hapa kujadiliana na kufundishana vitu mbalimbali kuhusu ushairi. Karibuni jamani tushirikishane na tutunge mashairi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu, natumai mpo gudi, rejea kichwa cha habari hapo juu, Kuna muvi fulani hivi kwa ambae anaweza kuijua hata jina yenye pia ina maudhui ya mauaji ya kimbari pale Rwanda iko hivi; Kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je, ni komedian (mchekeshaji) gani hapa Bongo anayeweza kulinganishwa na Eric Omondi wa kenya? Kwa mnaomfahamu naomba mnijuze nicheki ukali wake.
0 Reactions
96 Replies
15K Views
Halooo! Zombieeh! Mmh Baddie Eeeh heeh!!! (S2kizzy baby) Shhh!! Nimegundua shida nikumzoea Kinachonipa shida nimazoea Nimegundua shida nimeizoea Yanayonipa shida nimazoeaa Si anajua ndo maana...
1 Reactions
0 Replies
285 Views
1. https://www.fzmovies.net/ Ni moja ya tovuti yenye mkusanyiko mkubwa wa sinema ambazo unaweza kuangalia kwenye simu au kompyuta yako. Pia Inaruhusu Watazamaji Kupakua Sinema. 2. Mobile...
10 Reactions
46 Replies
14K Views
TUNGO: Hatima ya ujinga wake MTUNZI: Bux the passionate lover MWANDISHI: Bux the story teller MWANZO Furaha ilikuwa sehemu ya historia ya wapenzi wawili kwenye maisha yao, walikuwa wanaingia...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Hello kuna watu walikuwa wanatafuta sana wimbo wa John Komba ulioimbwa wakati wa mazishi ya Nyerere, "Taifa lahuzunika" huu apa nimeupata, naomba usishau kuSUSCRIBE channel kwa Mengi zaidi.
20 Reactions
81 Replies
31K Views
Habari wakuu! Natanguliza shukrani wa wadau na wapenzi wa nyimbo za zamani (zilipendwa),naombeni msaada wa kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji kwa kuwa msanii aliyeimba simjui wala jina halisi la...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii ngoma nimeiweka kama alarm song naamshwa na mtoto zuchu sauti laainiiiiiiii 😋😋.Kula ngoma iyo acheni kunifanya wagumu😂
0 Reactions
6 Replies
411 Views
Baada ya marehemu Steven Kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake. Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu Kanumba alikuwa nao. Ndo kitu...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwa alie na space movies kali asisite kutupia jina la movie hiyo, ili tujifariji wapenzi wa movie hizo kipindi hichi Cha karantini.. Sifa zisiwe na uongo mwingiiii.. hiyo ni kwangu binafsi ila...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa. Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii...
19 Reactions
366 Replies
40K Views
Wakuu mko powa... Mim ni mpenzi wa yale mangoma ya enzi hizooo,, Makundi kama The Temptations, Cool & the gang basi nikisikia vibao kama Treat her like a lady, dady cool, don't let it till...
8 Reactions
142 Replies
15K Views
Habari?? Wakuu wapi naweza kuipata hii movie ya James Bond live and let die. Mweny link au mweny nayo kweny device yake msaada.
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Back
Top Bottom