Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hili jitu la miraba minne toka kule jamhuri ya Aradese bingwa la miondoko ya rhumba na soukous akiwa na rapa mahiri enzi hizo Bileku Mpasi akiwa stageshow wake mahiri emolo na jollybabe walitoa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtunzi Juma hiza Sehemu ya 01. Naitwa Abdul Mensah, ni mzaliwa wa Mabawa, Tanga mjini. Nilipomaliza shule ya msingi mwaka 1992 sikubahatika kuendelea na masomo ya sekondari hivyo nilikuja jijini...
7 Reactions
228 Replies
30K Views
Kama uliiona moja na mbili ya tatu imeachiwa hd leo.
2 Reactions
16 Replies
800 Views
The series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its...
2 Reactions
12 Replies
724 Views
Ipi nyimbo kalii na beats kalii kati ya hizi nas i can na dr dre still dre
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Hongereni sana watani kwa kuvunja mwiko wa miaka 25 na kutinga makundi ya Klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998. Ni jambo kubwa sana kwa wana Uto wote. Mnastahili pongezi. Japo...
2 Reactions
6 Replies
678 Views
Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za...
1 Reactions
0 Replies
550 Views
Hawa jamaa mwaka huu wapo kimya, Kwa kawaida harakati zamsimu wao wa fiesta huanza mwezi wa saba mpaka sada tumeifikia october ambapo huwa fiesta inakua inakaribia kuhitimishwa Bila shaka huenda...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumpe maua yake Wallace Karia Soka la Tanzania limepiga hatua kubwa sana
3 Reactions
17 Replies
611 Views
Kimbia, Polisi maskani wakivamia Wakikudandia, hakika hawatakuachia Wakukute umetulia, au kipisi unamalizia Au labda kuna mchizi tu ulikuja kumuulizia Wanapoingia, nakushauri kimbia Wakikudandia...
15 Reactions
41 Replies
6K Views
Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Akiwa kama mwanamuziki maarufu na anayekubalika zaidi, nyimbo zake nyingi anahamasisha mambo yasiyofaa kwenye maadili, nyimbo zake nyingi zinabomoa zaidi jamii kuliko kujenga jamii. Ombi kwake na...
26 Reactions
143 Replies
6K Views
Wakuu inakuaje, nina amini kila mtu yuko vizuri kiafya au sio wakuu. Sasa leo nawaletea mada muhimu, na yenye kueleweka vizuri kwa kila mtu atakaesoma thread hii. Mada hii inamhusu rapper maarufu...
14 Reactions
263 Replies
17K Views
Habari za jumapili Naam ni wikiendi Leo baada ya mihangaiko ya kutafuta chapaa Tunajiliwaza na starehe tunazoona zinatufaa Mimi binafsi ni mlevi wa movie & music beer Kidogo Kuna hiki Chuma...
0 Reactions
2 Replies
378 Views
Wale wenzangu na mie tunaochungulia Kenya kwenye tasnia ya muziki, hasahasa muziki wa hawa malijendari Sauti Sol tukutane hapa: (a) Tujuzane the best song of each one humu jf. Kwa kuanzia napenda...
2 Reactions
8 Replies
666 Views
Hii ni simulizi ya yaliyomtokea mtoto wa marehemu rafiki yangu Mwinyi Mkila wa Bagamoyo. *********** 1. ALFA Nilifahamiana na Mwinyi Mkila katika harakati za kutafuta shamba Bagamoyo na hatimaye...
31 Reactions
280 Replies
31K Views
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo. Hivyo tu.
41 Reactions
241 Replies
19K Views
Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu 1. Lokasa ya mbongo 2. Dally Kimoko 3. Diblo Dibala Japo kuna watu kama Nene Tchakou
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Maulid njema wapendwa ndg zangu Waislam. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkuu. Ila tunamchosha Kwa kutokuchungulia fursa alizotupatia. The Ramadhan Brothers wamefanikiwa kuchukua nafasi ya 5. Ni...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom