MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo...
Hello members,
Wale wapenzi wa movies za teknolojia ya mbeleni kama vile time traveling. Trending Monsters Movies, movies za kuruka viunzi kama vile No Escape, Current Vampire and Zombies Movies...
Katika karne za enzi zile, zile zamani kabisa, kitu cha thamani kilikuwa ni aidha dhahabu ama silva. Kila himaya ilijivuna kwa wingi wa dhahabu zao, utawala imara na shibe za watu.
Si zaidi ya...
Hello Wana JF.
Naombeni mniongezee list ya series Nzuri kulingana na series nilizobahatika kuangalia.
Series nilizowahi kuangalia ni Kama ifuatavyo
1.Tyrant
2.Ozark
3. 24
4. Queen of the south...
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.
Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka...
MAJUTO NI MJUKUU
Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa
Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza...
KWA WALIMU WOTE
Sikilizeni wimbo huu:
Nilipokuwa mtoto niliitwa Chacha
Kwa matamshi yangu ya sasa
Nilipokuwa kijana niliitwa Chaupele
Nilipokuwa mtu mzima niliitwa Manywele Nilipokuwa...
Wakuu kwema?
Nipo nafatilia hili tamasha la wasafi festival live hii show ya Songea. Jamaa wamejitahidi sana kwenye promotion lakini ukija kwenye ubora wa matangazo ya live ni very poor.
Hii...
Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.
Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo...
1. Jay Mo moja ya msanii bora wa hiphop kwa 2010 kurudi nyuma, alikua mbaya sana haswa kwenye featuring moja ya feallturing kali ni baina yake na Ngwair
2. Sugu ni Legend na Godfather wa...
Album zake ni 1.Tokooos
2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7.
Kwangu album kalii kutoka kwake ni control...
Good morning jobless wenzangu natumai mko salama na matumaini ya kuijenga himaya kubwa siku za usoni japo mbele kuna kiza kinene.
Twende hapa tujifurahishe
Weka dhanio unatakiwa kutoa sare...
Siku za Juzi kati msanii wa Bongofleva mwenye Sauti yake hapa Mjini Daresalade alimchamba Majizzo na kumtuhumu kumuomba Rushwa ya Ngono na mambo mengine kadha wa kadha. Kitu ambacho kiliibua...
Zote ni nyimbo bora kuhusiana na mji wa New York.
Zote ni nyimbo zilizo dondoshwa na two of the best rappers duniani.
Kwa upande wako ni ipi bora kuliko nyingine...
Rema na nyimbo ya calm down rmx imepata kusikilizwa idadi ya bilioni Moja kwenye Spotify.
Licha ya wasanii wengine afrika ila kwa upande wa wanaijeria na wagana wanautendea haki mziki na Kila...
Leo ni September 11 siku ambayo Marekani wanaikumbuka kwa shambulizi la kihistoria la kigaidi lililofanywa na kikundi cha kigaidi Al Quaeda chini ya Osama bin laden mwaka 2001.
Leo mimi...
Mnamo Juni 1999, taasisi ya Uholanzi ya Madunia ilirekodi hali Halisi, Makala ya video ya dakika 30 kuhusu rap nchini Tanzania (Afrika Mashariki).
Hali Halisi "hali halisi" msemo unaonyesha rap...
Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen...
Mwanariadha wa Kenya Abel Mutai alikuwa karibu na mstari wa kumaliza mbio, akachanganya alama za kumaliza mbio na kusimama akifikiri ameshaliza na ni mshindi, ingawa hakuwa amevuka mstari ili kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.