Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Sura ya Kwanza Mara tu baada ya kuvunja ungo, Yasmin aliozwa mume. Alikuwa mume wa jamii yake ya Ithnashiria ambaye alikuwa akiishi jirani naye hapo Mtendeni. Alikuwa ni mume asiyelingana naye...
5 Reactions
36 Replies
10K Views
Wakuu Leo nilikua najikumbusha kuangalia nyimbo za bongo fleva za zamani, hivi Ile nyimbo ya Abby skills ft Mr blue. Mimi wewe, yule demu alietumika mule kwenye video sio qeeen daaring kweli au...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akizungumza katika Ufunguzi wa Tamasha la Pili la Kitaifa la Utamaduni, Viwanja vya Stendi ya zamani Mkoani Njombe, tarehe 25...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam kwenu wana MUNGU, Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani. Naisikiliza tena na tena, tena na tena...
6 Reactions
87 Replies
5K Views
𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊 : NAKOMITUNAKA: 𝙉𝙖𝙨𝙝𝙖𝙣𝙜𝙖𝙖/𝙉𝙖𝙟𝙞𝙪𝙡𝙞𝙯𝙖 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄 : VERKYS & ORCHESTRE VEVE 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄 : SULE MKANDARASI "𝙉𝙖𝙠𝙤𝙢𝙞𝙩𝙪𝙣𝙖𝙠𝙖" lilikuwa jibu la Verckys kwa wapinzani wa Mzee Mobutu ambao ni Kanisa...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
14 years ago today, Lady Gaga released “LoveGame” as a single from ‘The Fame.’ The track was praised for its now-iconic “I wanna take a ride on your disco stick” hook. It reached the top 10 in...
1 Reactions
2 Replies
497 Views
Hodi hodi wanajukwaa leo nimewatembelea ktk jukwaa lenu.Kwavile jukwaa ni la burudani l,na mm nimeamua kuleta burudan ya aina hii.Naomba mnipokee. Kisu Chenye Mpini Mwekundu -1 RIWAYA: KISU...
6 Reactions
102 Replies
54K Views
Jana usiku siku ya jumamosi tarehe 9 mwezi wa Septemba nikiwa na rimoti natafuta chanel ya kuniburudisha nikajikuta najaribu kuangalia WASAFI TV nikaona wasanii wa bongo flava wakiwa Ruangwa...
3 Reactions
7 Replies
937 Views
Barnaba ft Joel lwaga (sayuni )vs Moses bliss (Daddy wey dey pamper) Nini kimewakumba wasanii wa bongo mpaka kuanza ku copy idea za watu wengine...?
1 Reactions
8 Replies
723 Views
ILIPOSIKIKA sauti yake kila mpenzi wa muziki anayefuatilia bendi za hapa nyumbani alihisi kuna kitu kipya kimeingia katika tasnia ya muziki wa dansi. Hiyo ilikuwa mwaka 1982 alipoingia kwa mara ya...
11 Reactions
38 Replies
16K Views
Huyu jamaa katika Tanzania hii ukimtoa Hasheem Dogo, sijui kama kuna msanii anaeweza kumfikia kwa tungo zake! Hakika mchops aka moe technics anastahili sifa na tunzo maalum kutokana na kazi zake...
6 Reactions
57 Replies
18K Views
VIPEPEO WEUSI SEASON 2 - FROM ZURICH WITH RULES EPISODE 01 BARABARA INAYOELEKEA KWENYE MAKAZI YA WAZIRI MKUU – MLIMWA, DODOMA “Ili kuweka kumbukumbu kwa usahihi zaidi naomba urudie tena...
40 Reactions
505 Replies
107K Views
Naona live wasafi tv show ya wasafi festival inafanyika ila nashangaa wasanii wakubwa wote wameshapanda stejini..! Au sababu ya tanesco kumfanya figisu ya kukata umeme usiku wakati show ikifanyika...
5 Reactions
5 Replies
659 Views
Habar za wakati huu ndugu wana-board. Tafadhali, husikeni na mada tajwa hapo juu. Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Koffi Olomide a.k.a Papa Fololo a.k.a Papa na Didi Stone a.k.a Nicholous Sykoz...
5 Reactions
129 Replies
19K Views
Zimepita siku 5 baada ya Young Lunya kuachia ngoma yake mpya ya freestyle session 5, wimbo huo kwa asilimia kubwa amemdiss Rapa Young Killer. Young Killer nae baada ya kupita siku 3 akajibu mapigo...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Hakuna Kitu ambacho GENTAMIYCINE nakipenda ukianza Kuntukuza Mwenyezi Mungu, Mpira na Kusikiliza Muziki wa Congo DR tena mpaka Kuiimba na Kuicheza kabisa na kusahau matatizo yangu yote yakiongozwa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimeusikiliza kwa makini sana, hakika kijana Elibariki aka Nay wa Mitego moyoni mwake amejaa ujasiri na moyo wa kuwasemea wasio na sauti. Ndipo likazaliwa swali hili, je ungekuwa mkazi wa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
The Ultimate Heir System FREE FREE FREE! MegaNovel Sep 9 2023 The Anderson family mansion looked different tonight. The sound of applause filled the room as a woman and a man took turns putting...
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Muziki wa kizazi kipya Bongo au maarufu kama Bongo Fleva, ndiyo unaaoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kwa sasa nchini Tanzania, hilo halina ubishi. Vijana wengi wamejiajiri kupitia muziki huu...
6 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom