Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Kazi ya mziki wa dansi Hawa waheshimiwa waliutendea haki hasa kuishika hadhira na kupenyeza ujumbe na mafunzo kwa jamii. 1.Katika wimbo huu unakutana na mtunzi Kakere Belesa(nafikiri huyu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, Bila kupoteza muda, acha nijikite kwenye mada husika. Palikua na MFALME na MWENDAWAZIMU ambao walikutana makaburini. MFALME: "Imekuaje wewe unaishi makaburini siku zote??? Na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeandika thread ndefu kiasi chake, unahitaji muda kuisoma. Samahani kwa hilo ndugu msomaji... Tuanze hapa hapa:- Utangulizi Wanajamvi, hapa majuzi mwanamuziki Vanessa Mdee aliamua kufunguka na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
.....b
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Aartami Korp Vs Don
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Soma stori hii ni nzuri. Mnamo mwaka 1996 katika nchi ya Tanzania, mkoani Singida sehem ya kijijini ambapo kijiji hicho kilizungukwa na msitu,, kati ya hao wanakijiji kulikuwa na binti wakike...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Barbie imekuwa rasmi Filamu yenye Mauzo bora kwa mwaka 2023 baada ya mapato yake kuipita Filamu ya Super Mario Bros kwa kuingiza zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 1.38, sawa na Takriban Tsh...
1 Reactions
0 Replies
729 Views
Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
RIWAYA: MKIMBIZI MTUNZI: HUSSEIN ISSA TUWA SEHEMU YA KWANZA likuwa ni msafara wa watu watano, watatu kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waajiriwa wa Idara ya Makumbusho ya taifa kitengo...
11 Reactions
88 Replies
36K Views
Pesa si matumaini yao Ni msukuma mkokoteni Tena na jua kali kichwani Pato lake sio ahueni Pesa si matumaini yao Ajabu mwajiriwa tajiri Na mwajiri wake ni fakiri Analipa, kipato swaghiri Pesa si...
1 Reactions
2 Replies
429 Views
Habari, Naombeni mnitajie nyimbo za Juma Nature zote alizoimba na kushirikishwa. Najua nyimbo zake hizi tu. Mtoto Idd Mikikimikiki Sitaki demu Mgambo Kwa mlionazo kama itawezekana naombeni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
MDUNGUAJI WA GOMA:2 NA; BAHATI K MWAMBA SIMU; 0758573660/0658564341. 1. Zilikatika dakika thelathini bila mjumbe wa mwisho kuingia kwenye kikao cha dharura, simu zake...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu mko poa. Ni ‘weekend’ sasa, muda ambao tunapata mapumziko, hivyo basi si vibaya kama tukipata wasaa wa kupakua na kutazama filamus kadhaa kwa ajili ya burudani na pia kujifunza...
11 Reactions
113 Replies
18K Views
Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram Nay wa Mitego anaandika: Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Kwa Walezi Wetu @basata.tanzania Kwa Ajili Ya Kikao So Nitafika Kwenye Kikao Siku Iliyo Pangwa...
1 Reactions
4 Replies
890 Views
Ukaniumiza
3 Reactions
8 Replies
927 Views
@haithamkim Musician my new song Utamu ft young lunya inapatikana kwenye digital platform zooteee
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila zama na kitabu chake, ilikuwepo zama za Bongo Records na akina Majani, Prof. Ludigo, Soggy Doggy, Bizzman n.k wakidondosha midude ya level nyingine. Huku alikuwepo MJ Records, kule Mawingu...
8 Reactions
86 Replies
11K Views
audiomack.com/haitham-kim/song/changanya
5 Reactions
3 Replies
991 Views
Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi.. Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Back
Top Bottom