Habari wana jamvi,
Kuna kipindi kinafika unatamani ukae na familia muangalie movie zenye story za kufunza au movie zenye maudhui mazuri ya dini.
Leo nakuletea movie & Tv series maarufu...
1. 12 600 Lettres
2. 12 600 Lettres A Franco
3. 12 600 Lettres Débat
4. 5 Ans Ya Fabrice
5. A Moins Que Namikosa
6. A.Z Da
7. Abali Ye
8. Abanza
9. Acceptez Que C Est Vrai
10. Accident Ya Cherie...
Kwema Wakuu!
Moja ya mambo ninayoyapendelea kutazama kwenye Luninga ni Cartoons na filamu za Wanyama.
Ninapendelea Cartoons zaidi kuliko filamu za maigizo za watu halisi. Nachelea kusema Watunzi...
Golden tz - Lonely.
Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali...
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.
1. #TheBeatles
2...
Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa...
Ipi Kali Sana kati ya hizi ngoma speed 120 iliyotoka 2008 au kush n haze iliyotoka 2006.
Nimekuwekea ngoma zote mbili hapo uzisikilize
Dondosha maoni hapo chini👇👇
NB:RIP kwa Albert Mangwea...
Srinagar (Jammu na Kashmir), Agosti 28 (ANI):
Mlimbwende namba moja duniani anayemaliza muda wake wa kushikilia taji la Urembo la dunia kwa sasa Karolina Bielawska amevutiwa na mazingira ya India...
Umoja wa Falme za Kiarabu (the united arabic Emirates) ulikuwa wa kwanza kutekeleza marufuku hiyo Hii ilifuatiwa na Saudi Arabia na Pakistan
Hivi karibuni Algeria nayo imeungana na nchi za...
Baada ya Khali kutoa kebei kwa wanamziki wa Hip Hop ya Bongo kuwa hawana uwezo wa kushindana naye.
Khaligraph Jones alitoa masaa 24 kwa wasanii wa Hip Hop wa Bongo wajitokeze kum-challenge.
Japo...
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
GANGWE MOB, MAMILIONEA WA MCHICHA NA KABICHI
BABU Inspector Haroun na Luteni Kalama, let me raise hell kuhusu umilionea wa Gangwe Mob.
Msimu wa kiangazi unaisha mwaka 2001, Gangwe wapo top...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amefungua Tamasha la pili la kitaifa la Utamaduni Agosti 25, 2023 katika viwanja vya Stendi ya zamani mkoani Njombe.
Katika...
Kuna hii movie ya 2023, inaitwa The Channel. Ni simple tu, kwamba mshikaji (ex marine) anaenda na wenzie kama wanne hivi (nao ni ex marine) akiwemo kaka yake mmoja kupora bank.
Mission ilikua...
Mtu kwao,
Mama anaungana na ndugu zake, jamaa na marafiki wa kwao kusheherekea na kuzindua miradi ya maendeleo.
Mnaeonda muende salama na mrudi salama majumbani mwenu.
1. Pesa nyingi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akiimba na kikundi cha Utamaduni toka India wimbo wa kihindi katika Tamasha la Pili la Kitaifa la Utamaduni linaloendelea Njombe.
Hata kama hajui kuandika mistari ntamuandikia Mimi. Tutapiga hela hatari.
Huyu ndio rapper sasa sio watoto wa mama kama kina Omollo
( pichani ni baada ya mama ake kuja eneo la tukio na...
morng
Its weekend again 26/08/2023 ni siku ya vibe nikualike au nikukumbushe wewe ambaye unatamani kutoka leo na upajui wapi kwa kwenda lakini pia wewe ni new comer in Dar es salaam unahitaji...
Binafsi naipenda zaidi fast 5. Location fulani ya kiuswazi swazi kule Brazil ambayo movie imechezwa na ingizo la Hoobs liliinogesha sana ile movie jamaa kaacha pengo kubwa sana baada ya kujitoa...
Nilisha wasikiliza sana Fid Q, Joh Makini, Chid Benzi, Songa, Jay Mo, Afande Sele, Niki wa pili, Stamina, Roma n.k
Baadae katika Hip Hop tunaona ujio wa vijana kama kina Country Boy, Young Killer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.