Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kijana Rahim anatokea kumpenda binti Sarah katika nyakati za mwisho za uhai wa binti huyo. Wasichokijua ni kwamba penzi lao limeletwa kwa nguvu ya ajabu ili mtu aliyeharibu maisha ya Sarah atubu...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wadau habari zenu, naomba msaada kw hapa moro/dar anaejua mahali wanapotoa huduma ya kucheza game za magari, yaan unakua na kiti na sterling then kuna tv mbele unakua unaendesha gari. Naonelea...
1 Reactions
2 Replies
366 Views
Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Filamu 25 za Muda Wote Ambazo Zimeingiza Pesa Nyingi zaidi kwenye Kumbi za Filamu (Theatres) 1. Avatar: $2,923,706,026 2. Avengers: Endgame: $2,797,501,328 3. Avatar: The Way of Water...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum wa kuwapa maua wana hawa wawili waliojitoa peke yao kuwasemea wananchi kupitia kazi zao za sanaa. Siyo jambo rahisi kwa msanii wa bongo kutunga wimbo wenye content ya kuisema...
13 Reactions
80 Replies
3K Views
Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo. Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22...
8 Reactions
45 Replies
10K Views
Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC. Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin...
2 Reactions
4 Replies
514 Views
Wadau nimetafuta sana huu wimbo wa HAKI ulioimbwa na 2 pround ft justine kalikawe, sikaujapa naomba mwenye nao atupie hapa tuweze upata
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Today, the esteemed Roma Mkatoliki graces us with his triumphant return, presenting his latest musical masterpiece titled "Tupeni Chetu."
1 Reactions
2 Replies
515 Views
WACHAGAAAA MPOOOOOOO SHIMBONI SHAFOOO WACHAGAAAAA... HAYA MMESHAHESABIWAAA MKUJEEE HUKU TUWEKANE SAWAAA.... MAISHA YAMEBADILIKAAAA SASAAAA MFANYE KAZIIII KWERI KWERIII KIRU SEHEMU YA 1 A...
2 Reactions
28 Replies
10K Views
Katika tamthilia ambayo mpaka Leo naiangalia na haichuji, Sex and the city in moja wapo?! Kote kwenye Tamthilia na Movies My favourite Actress ambae nikimkosa nanuna alikuwa ni 1. Samantha ~...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
https://youtu.be/WcqK9Ls7Eos From the Bible to the Quran Revelation in Jerusalem Shalom, salamalekoum You can see Christians, Jews and Muslims Living together and praying Amen, let's gives...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi, (Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli) Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu, (Inatosha sasa, upuuzi...
2 Reactions
2 Replies
676 Views
Ziwe bongo flava, ziwe rnb, ziwe funk, ziwe rap, iwe rhumba, ziwe soul muhimu tu isiwe gospel au Kaswida. 1. Asante ya Sugu na Sele, kutoka kwenye album yake ya Muziki na Maisha. 'Chorus' yake...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
https://youtu.be/UiIa2i29PZ4 R.I.P Father Nelly wa Xplastaz Nimesikiliza hii nyimbo tangu nikiwa bwana mdogo mpaka leo nimekuwa broo! Nafikiri tukubaliane sasa kwamba kwa Hip Hop hii ndio rap...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
Zion train is coming our way Zion train is coming our way Oh people, get on-board (you better get on board) Thank the Lord. (praise Fari) I gotta catch this train 'Cause thee is no other station...
2 Reactions
0 Replies
265 Views
Ijumaa ya leo tarehe 18/08/2023 Msanii maarufu kwenye nyimbo zinazogusa maisha halisi ya Watanzania, Roma Mkatoliki ataachia wimbo wake uuitwao “Tupeni Chetu.” Wimbo huu utagusia suala zima la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Jamii People. Been a while lakini yote heri au siyo. The messages that I receive mostly zinaniulizia kuhusu more stories. So nikaamua walau kila wiki niwe naandika something. Naanza na hii...
14 Reactions
398 Replies
68K Views
Baadhi yetu tunaamini kusikiliza muziki ni tiba ya bure kabisa (therapy) kitu ambacho kwa namna flani kina ukweli ndani yake, kila mtu ana aina ya mziki anaoupenda, wengine hupendelea gospel...
2 Reactions
7 Replies
505 Views
Hawa vijana wapo moto sana, usiseme ushawahi kusikiliza mziki halafu hii ngoma huna, hii ngoma ni kali balaa ina fleva kali za na amapiano humo ndani inaitwa "Sina ubaya by watu fresh"...
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Back
Top Bottom