Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu GT Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Ripoti zinaeleza kuwa risasi zilizokutwa nyumbani kwa mtuhumiwa wa mauaji ya Rappa TUPAC Keefe D hazifanani na maganda ya risasi zilizokutwa eneo la tukio alipopigwa risasi Tupac mwaka 1996. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
𝙒𝙄𝙄𝙈𝘽𝙊: LIBERTE 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄: FRANCO LUAMBO 𝘼𝙇𝘽𝙐𝙈: Bolingo Na Ngai Na Beatrice 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄: SULE MKANDARASI ************************* Na welaki kitoko nayo na bomengo eh 𝙉𝙞𝙡𝙞𝙠𝙞𝙢𝙗𝙞𝙡𝙞𝙖 𝙪𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙬𝙖𝙠𝙤 𝙣𝙖...
7 Reactions
6 Replies
563 Views
American Top 40 [05/13/2023] LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On 39 40 Meghan Trainor - Made You Look 05 24 38 39 Post Malone/Doja Cat - I Like You (A Happier Song) 01 [4 weeks @...
2 Reactions
1 Replies
480 Views
Wakuu habarini .. Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
In the rec room of an apartment building on Sedgwick Avenue, an eighteen-year-old Clive Campbell throws a back-to-school party with his younger sister Cindy. Friends and neighbors dance to the...
1 Reactions
7 Replies
720 Views
'Chai' Aisee hili neno linakata mdadi sana humu jamiiforums. Mtu ameamua kuleta kisa chake ambacho anaamini kwa uzoefu alioupitia anaweza kuwasaidia watu wengine kimtazamo na yeye binafsi kupata...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania. Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa jamaa kutoka Kenya walikuwa na international flow, walikuwa ahead of time. Imepita miaka kama 13 tangu hawa jamaa waje kwenye game ya muziki na ghafla wakapotea. Nafikiri kwa ile style yao...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi sikuwahi kufikiria kabisa kuhusu ndoto. Nilikuwa nachukulia kama mauza uzaza ya uchovu na mawazo ya siku nzima. Ila kuna kitu nimekuja kukigundua kwa namna mbili kwanza ni kuwa sina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
AKINYI MUST DIE (NI LAZIMA AKINYI AFE) - 01 Mvua kubwa iliyoambatana na ngurumo,radi na upepo mkali zilikuwa zikilindima Kaskazini mashariki mwa Tanzania katika jiji la Mwanza,maeneo ya...
48 Reactions
255 Replies
28K Views
Kwangu mimi ndio video bora 2023. Kuanzia mavazi location mpaka video quality kichupa ni kali mno. Hongera lovebite Video ya Lava Lava Ft Diamond Platnumz - Tuna Kikao
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wote ambao mapenzi yao yapo ICU baada ya kucheat baby zenu. Goma la kueleweka la kuombea msahama kwa babe zenu hili hapa la mtu mzima Rick Ross ft Chris Brown- Sorry Rick Ross"Sorry"...
2 Reactions
6 Replies
643 Views
Ndiyooo! Siku hizi angalau wasanii wetu wanaimba vitu vya kuburudisha sio zile kila siku kulialia mapenzi. Ila hizi style za uchezaji kwetu watu wazima zinaweza kukutia wazimu, juzi nimecheza...
3 Reactions
3 Replies
376 Views
Muziki unawatii hawa viumbe. Wameshindikana.
2 Reactions
11 Replies
528 Views
Hi - I'm a songwriter with some classical training. I don't write in a classical idiom - I mainly write comedy songs and I'm just starting to branch into jazz and swing. Nevertheless I find that...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
RIWAYA: MZEE WA BUSARA MWANDISHI - SULTAN TAMBA ANGALIZO, Riwaya hii ni ya zamani iliwahi kutamba kwenye magazeti ya kila wiki, leo nimewaletea mpate kuburdika. MWANZO NILIHISI kupagawa. Akili...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom