Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge. Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions. Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia...
3 Reactions
70 Replies
4K Views
Wadau wa jamii forum, Heri ya sikukuu ya Simba Day. Leo nimeamka na mzuka wa kumsikiliza Jabari la muziki. Naomba kama unao wimbo wowote wa Marijani basi uniwekee hapa. Nitafurahi nilipata...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Naanza na 1. John Lissu - Nitaongozwa na Bwana 2. Boazi Danken - Ninakupenda 3. Essence of worship - Umetenda 4. Hymnos 2- majina yote mazuri 5. Dr. Ipyana - Nikupe nini kwa yote umetenda 6...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Ifike pahala huyu jamaa wamuache apumzike maana kwa mambo yanayoendelea sasa ni kumkosea adabu bondia bora wa muda wote na wa vizazi vyote Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior ...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
ENRIQUE IGLESIAS VS ED SHEERAN. Hero vs Perfect. . Your my number one vs Thinking out loud. . Bailando vs Shape of you. . Takin back my love vs Heartbeat. . Why not me vs photograph. . Some...
4 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu habari za mda leo nimeleta mada hii tujadili kwamba tangu ujio wa microgenre mpya ya hiphop 2016 iliyoanzishwa na future, Gucci mane na chiefkeef iliyo kwenye trap genre hiphop style na...
3 Reactions
77 Replies
2K Views
Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Kama mdau wa soka jana nilifuatilia na kufurahia sana sherehe ya wana-simba ambayo kiuhalisia ni tukio waliolianzisha miaka kadhaa iliyopita na linaloendelea kukua mwaka hadi mwaka. Si ajabu pia...
1 Reactions
2 Replies
365 Views
Huu wimbo ni wa kawaida sana, ni vile tu umeimbwa na Diamond. Diamond anajua, ila kwa huu wimbo hapana.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa wavuti rasmi ya warner bros. hii inaifanya kuwa filam ya kwanza kutengenezwa na mwanamke kuingiza kiasi hicho cha pesa. source:cnn
1 Reactions
7 Replies
443 Views
Nakumbuka kipindi hicho tunaangalia Rocky ya Rambo na huku tukijifunza kurukiana mateke baada ya kuangalia bloodsport ya van damme. Ilikuwa ukitoka kuangalia commando ya arnold na wewe unaenda...
10 Reactions
165 Replies
6K Views
Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
1 Reactions
4 Replies
534 Views
Nlikuwa na CD yao ikapasuka. Kama kuna mtu ana ngoma zao anisaidie. Ukiwepo wimbo: Usiniache Bwana Natanguliza shukrani 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Hawa wasanii wa tamaduni Music hapa nawazungumzia Nikki mbishi Stereo One the incredible Songa P the Mc Zaiid Ghetto ambassador Kad go Azma Nash mc Wakazi Man su lee Dizasta Ni...
26 Reactions
204 Replies
9K Views
Hapa nimeshangazwa na ujasiri wa Dj aliye zamu leo RFA maana anapiga nyimbo za mixtape za Anti Virus live live ni matusi matusi tu. Kama hamtaamka na barua ya TCRA asubuhi Mungu yupo nanyi...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Yamenikuta Kama yaliyotokea kwenye hz movie. Dhadkan upande wa sunnly shet Tere ma'am. Darr.upande wa sharukhan. Dil karshta upande wa Arjun rampal n hvo tu
1 Reactions
13 Replies
727 Views
Kiongozi na mwimbaji mkongwe wa bendi ya 'Twanga Pepeta' luiza Mbutu amefunguka na kuonyesha kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya wasanii wa filamu na bongofleva wanaojihusisha na skendo za...
1 Reactions
22 Replies
16K Views
....Siooo leeeeeo toka zamani, Mnyama hana mpinzani.....
1 Reactions
15 Replies
3K Views
SEHEMU 1 Hapo zamani za kale enzi za akina nabii mfalme Daud huku Israel kulikuwepo na nabii mmoja kwenye himaya ya Uingereza aliyekuwa akijulikana kwa jina la nabii Johnson Petersburg (45)...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom