Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible. 👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi. Vin Diesel vs Tom...
10 Reactions
220 Replies
7K Views
Mtunzi: Nyemo Chilongani Sehemu ya 01 Nilisimama juu ya mlima mmoja mkubwa, mawingu yalitanda angani huku radi zikianza kupiga mfululizo hali iliyoonyesha muda wowote ule mvua kubwa ingenyesha...
12 Reactions
126 Replies
20K Views
Sehemu ya 01 Mtunzi Irene Mbowe Kama kuna vitu wanawake hawaaamini ama hatuamini ni mume kukosa mchepuko. Yanii hii sijui utaniambiaje niamini. Akili yangu inaamini kabisa mr anachepuka. Sio...
21 Reactions
355 Replies
63K Views
Habari wakuu,kwa wale wapenda muvi za kila wiki la jumatatu hasa wale Wenye ofisi za library na wanaopenda kutazama au wanaofuatilia muvi za kila jumatatu za 1.kihindi series 2.Korea drama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Simulizi: Ni mwanaume nilie tambulika mwanamke “Kho! Kho! Mmh!” inanibidi nikohoe kidogo maana sina kipaji cha kusimulia ila nitajitahidi maana nahitaji kuwafunza mambo mengi. Nimetumia muda...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Gene (illustrator na Comic artist) ni moja ya watu walifanya utoto wa watu wengi kuwa na raha kwa namna yake. Mchoraji huyu na Director wa Tom and Jerry ambao majina yao halisi ni Jasper na Jinx...
7 Reactions
91 Replies
3K Views
Mtunzi: Nyemo Chilongani Treni ilisimama mwisho wa reli, mkoani Kigoma ambayo ilianza safari yake ya kuelekea huko siku mbili zilizopita kutoka jijini Dar es Salaam. Wenyeji waliofika mahali...
11 Reactions
550 Replies
83K Views
RIWAYA: MKOLONI MZAWA—2 MTUNZI: HASSAN MBONECHE SEHEMU YA 03. ROMA, ITALY. Ulikuwa ni usiku. Kamishna wa intellijensia Barabara Ndirimwe alivyokutana na vijana wa PSU, ambao kwa wakati huo...
4 Reactions
121 Replies
22K Views
PONGEZI
2 Reactions
3 Replies
594 Views
Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni 1. kwanza Aliens hawajavamia america tu...
1 Reactions
0 Replies
474 Views
Original version ilifanywa na Zac Efron na Zendaya mwaka 2017 kwa ajiri ya movies ikienda kwa jina la The Greatest Showman. Baadaye James Arthur na Anne-Marie walifanya cover yake.Mimi kila...
1 Reactions
0 Replies
792 Views
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Yes kama kawa kama kawaidas Denzel Washington ndani ya nyumba [emoji91] Huyu mzee ni balaa haswa mara ya kwanza nilipomuona kwenye The book of Eli nikasema Huyu jamaa fundi alafu anajua na anajua...
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Hii inamaanisha ngoma zilizopigwa zaidi kwenye events, night pubs tiktok na sherehe mbalimbali. 5. Ameyatimba Whozu ft Billnas 4. Sele Mbosso 3. Shu Diamond Platnumz 2. Enjoy Jux ft Diamond...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu, Huu ni Uzi maalum Kwa ajili ya Tamthiliya pendwa ya kituruki inayojulikana kama Sadakatsız (unfaithful) inayorushwa katika luninga ya Azam Two kuanzia jumatatu Hadi Ijumaa majira ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuvute pumzi kidogo wakati tunaisubiria 'The Godfather'.... Baada ya kuhitimu chuo kila mtu alikua na matarajio yake, wapo waliojindaa kuyafikia hayo matarajio hata kabla hawajatoka chuo, wapo...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Mtunzi Juma Hiza Sehemu ya 01. Nilizaliwa Julai 27, 1982 katika hospitali ya Bombo mkoani Tanga, nikiwa mtoto wa pekee katika familia ya wazazi wangu. Maisha yangu baada ya kuzaliwa...
9 Reactions
38 Replies
9K Views
Mtunzi ally Katalambula Sehemu ya 01 Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniacha hai mpaka leo hii kwa niliyoyafanya naamini sikufaa kuwa hai mpaka leo hii. Nina imani alifanya hivi ili niweze...
5 Reactions
58 Replies
14K Views
Back
Top Bottom