1. Major Lazer ft Wyclef Jean- Reach to the stars
2. David Guetta ft James Young & Birdy- I'll keep loving you
3. Naughty Boy ft Beyonce & Arrow Benjamin- Runnin(Lose it all)
4. Calvin...
Hivi karibuni Mh. Kabudi aliliambia Taifa kuwa muziki wa Singeli ndiyo utakuwa muziki wa kulitambulisha Taifa. Watu tulibaki midomo wazi kwa kushangaa kuwa ni Singeli gani hiyo! Je ni Singeli hii...
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.
Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?
Yaani naona kama huu mwaka...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali...
ALBAMU ya reggae ya mfalme wa muziki wa reggae, hayati Bob Marley, ‘One Love’, imetunukiwa Tuzo ya Albamu Bora ya Reggae katika Tuzo za Grammy za 67, zilizofanyika usiku wa jana huko Los Angeles...
Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke...
KISA CHA 'ALPHA BLONDY' KUANDIKA NGOMA YA "SWEET FANTA DIALLO."
--------------------------------------------------
Katika kitabu chenye list ya wanamuziki bora wa muda wote wa rege barani Africa...
THE MODERN WAR
(Vita ya kisasa)
Sehemu ya.........01
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI
Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na...
Dunia imepoteza gwiji na malkia mwingine wa muziki wa Jazz duniani mara baada ya jana Roberta Cleopatra Flack kufariki dunia akiwa na miaka 88.
Flack atakumbukwa sana kwa wimbo wake mashuhuri...
▪️Kura 8.3 IMDb
▪️Kuachiliwa: 2024
▪️Maudhui: Family/Adventure
_________________________
Baada ya Roz kudondoka duniani na kujikuta katikati ya maskani ya viumbe tofauti na vile alivyovizoea...
Kompa music vs Amapiano.
Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.
Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko...
Ethan na mpenzi wake Nola ni wafanyakazi Airport Ethan kazi yake ilikuwa kuwapokea wageni na kuwaelekeza nini Cha kufanya. Lakini mpenzi wake Nora yeye alikuwa kitengo chenye hadhi na mshahara...
Katika mambo yanayozua mijadala sana hivi karibuni hasa ndani ya jamii ya watu weupe ndani ya nchi ya marekani ni jinsi ambavyo wanaitizama jamii ya weusi.
Jamii ya watu weusi imekuwa kila...
MATRIX SIO TU FILAMU, NI UTANGULIZI WA UJUMBE WA KISIRI
"Ulimwengu tunaouona ni udanganyifu tu, gereza la kiakili linalotuzuia kugundua uwezo wetu wa kweli."
Filamu hii ni kioo cha ubinadamu...
SEASON-1
EPISODE 01
Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mmoja wetu kwa kufika hatua hiyo ya kumaliza elimu ya upili baada ya kumaliza mitihani ya kidato cha sita.
Kilichobaki kwa wakati huo...
Wakuu…
Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine.
Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi...