Wanajamvi, uzi huu utakuwa endelevu ukizijadili siasa za Marekani kuelekea uchaguzi
Tumefanya hivyo chaguzi zilizopita na tunaendelea ingawa tumechelewa kidogo
Siasa za ndani ya nchi zimechukua...
UTANGULIZI
Ndugu wanajamvi
Kwanza, tumshukuru mdau aliyetufikia kwa maoni.
Mdau ameshauri kuwepo na uzi endelevu utakaoangaza shughuli za Bunge kila mara
Hili litasaidia sana katika kutenga...
Kule kwetu kuna msimu wenyeji hutafuta kitoweo cha panya. Utafutaji wa kitoweo hiki huhusisha kuchoma msitu ili kuwafukuza panya na baadye kuwakamata wanapokimbia kutauta kujiokoa na moto...
Baada ya 'kiza' cha siku kadhaa katika mtandao, tutakuwa na mabandiko yakiangalia uchaguzi uliomalizika
Kwa kutambua hatma ya taifa letu ni yetu sote. Mtazamo wetu upo wazi kujadiliwa kwa maono na...
MAFISADI WA VIPATO VYAO
Na Kahabi wa Isangula
Kila ninaposikiliza hotuba za wanasiasa zote zimejikita kutuaminisha kuwa Serikali ndiyo tiba pekee ya matatizo yetu ya maendeleo ya kiuchumi...
Katika taifa letu siku za hivi karibuni, watu wamekuwa wakiongelea kuhusu mabadiliko.
Mabadiliko ndilo limekuwa neno ambalo liko katika vinywa na mioyo yao. Watu wamekuwa wakiliongelea kwenye...
Leo ningependa tujadili kitu kimoja ambacho nimekipata kwa jitihada kubwa, katika kutafakari na kusoma, katika kufanya jitihada kujua mambo na katika kufungua milango ya ufahamu wa ubongo wangu...
FIKIRISHI ZA NGUMBALU 02:
Baada ya kukupa kisa cha mkulima na sekeseke la Magugu Shambani, leo nakulete kisa kiitwacho Mkenge wa mfotoa picha na Kamera ya Nyumbani.
SASA ENDELEA....
Yule...
Leo ningependa kuendelea kujadili jambo ambalo nimekuwa nikijadili kwa muda mrefu sana kuhusu maadili na nidhamu. Lakini leo nitajikita katika dhana yenyewe ya maadili na nidhamu na nitaongelea...
Fikirishi za Ngumbalu 01
Palitokea mkulima aliyerithi shamba toka kwa babu zake wa kufikia baada ya kupiga kelele kwa majirani wa mbali pale alipochoka kuwafanyia kazi mababu hawa kama kibarua ...
Isitokee hata siku moja tukafikiri watu kutoka nje watakuja kujenga umoja wetu na kuliletea maendeleo taifa letu, Kama tumeshindwa kujenga umoja wetu huku ndani, hakuna mtu, au taifa lolote...
Kwa wenye hekima maisha ni fumbo ambalo linapaswa kufumbuliwa. Na Dunia ni chuo ambacho binadamu anatakiwa kujifunza kila siku ili kufikia ukuaji wake wa mwisho kiakili. Chuo hiki ni kikubwa...
Hayati Mwalimu Nyerere ni Muasisi wa Taifa hili, ni raisi wa kwanza na ameifanyia makubwa nchi hii,.
Lakini Yeye mwalimu si muasisi pekee wa nchi hii na wala hakuijenga peke yake.
leo hii...
"..Serikali ninayoiongoza, ilichaguliwa na masikini...Kama matajiri walifikiri nitakuwa upande wao basi wamenoa. Mimi nilichaguliwa na masikini na nitawatumikia masikini na si matajiri."-Rais John...
Kazi ya Mungu ni ya kiwango cha juu zaidi ya Kazi ya mikono ya binadamu. Ushahidi wa hili uko dhahiri machoni petu. Hata zile Kazi tunazoita zetu sio zetu. Kwasababu Mungu ndiye aliyetuumba na...
Nidhamu ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu. Nidhamu humpa uwezo binadamu kuongoza mawazo yake na matendo yake katika mkondo unaofaa. Uwezo huu umfanya binadamu kutawala maisha yake...
Tunapokua ni lazima ukuaji wetu uambatane na hekima na busara. Kwasababu binadamu sio ukuaji wa mwili tu bali pia ukuaji wake wa kiakli.
Ukuaji wa binadamu sio kurefuka tu au unene au kutoka...