Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Moja ya vitu vigumu sana ambavyo napambana navyo na pengine labda sio mimi peke yangu na watu wengine ni subira. Wote tuna matarajio na matamanio ambayo tungependa tuyakamilishe. Matarajio haya...
11 Reactions
0 Replies
3K Views
Kilichotokea kimetokea huwezi kukibadilisha. Jukumu tulilonalo ni kujenga baadae mpya yenye matumaini na faraja. Kila mtu anapaswa kufahamu hilo. Ni lazima tufundishe akili zetu kutafakari na...
32 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni swali wanalojiuliza watu wengi, baada ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kumtangaza Dk. Ali Mohamed Shein, kuwa mshindi wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Unapodai mabadiliko katika nchi , wewe kwanza umebadilika ?. Je unatabia ambazo zina reflect raia anayewajibika na mwema? Hili ni swali ambalo wote tunapaswa kujiuliza, tunaopenda na kuhitaji...
5 Reactions
3 Replies
6K Views
Why is it that African leaders have become power mongers, from Museveni to Nkurunzinza, from Ali Mohammed Shein to Mugabe? How dare they claim democracy while they rig elections, cancel official...
8 Reactions
0 Replies
2K Views
Nadhani kwa picha hii nitaeleweka kuhusu ubinafsi ambao nimekuwa nikionglea mara kwa mara na umuhimu wa umoja katika malengo. Weka taswira kwamba boti hilo kubwa ni Nchi. Imewabeba raia ambao...
69 Reactions
0 Replies
8K Views
Swali la kujiuliza tunawatayarishaje watu wetu kuingia kwenye ofisi za umma na katika utumishi wa umma? Tume wa train vipi watu wetu katika nidhamu zao na maadili. Binadamu hakui kama uyoga ni...
8 Reactions
0 Replies
3K Views
Nafikiria hii kauli kutaka kujua Mheshimiwa alikuwa anamaanisha nini. bado sijafahamu sawa sawa. Kwahiyo tunatawaliwa hatuongozwi? Kuna tofauti kubwa kati ya kutawaliwa na kuongozwa. Watu...
8 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni jambo muhimu sana kwetu kama tunataka kukua kiakili kila wakati kukumbushana na kuelimishana kuhusu mambo muhimu ambayo yana uwezo wa kujenga akili zetu na tabia zetu kuwa bora Zaidi lakini pia...
5 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila taifa linapaswa kuwa na misingi na linapaswa kuwa na vitu ambavyo wanaamini ndivyo vinavyowaunganisha pamoja kama taifa. Taifa lolote bila ya kuwa na uelewa mpana kwanini wako pamoja na...
4 Reactions
0 Replies
3K Views
Kijana anapokua anatakiwa kutayarishwa ili akue kiakili . Aweze kutimiza majukumu yake katika familia yake lakini pia aweze kutimiza majukumu katika jamii yake na taifa lake. Ni wajibu wa jamii...
13 Reactions
0 Replies
3K Views
Kitu kibaya binadamu anachoweza kufanya ni kutumaini mambo mabaya kutokea kwa binadamu mwenzake, badala ya kumuombea kheri. Kwa kumuombea kheri na wewe pia unajiombea kheri. Kunasababu gani ya...
27 Reactions
0 Replies
5K Views
Tutakapoanza awamu ya tano ya uongozi Tanzania, nitarudi hapa kutaka tujadili sifa za viongozi wa siku sijazo kwa kuangalia vigezo hivyo. Sasa hivi siyo wakati mzuri kujadili mambo hayo.
7 Reactions
5 Replies
7K Views
Ni MUHIMU kuheshimu kila mtu Mipaka yake. Tusivuke mistari. Kuna mambo yanayotuhusu sisi tujishughulishe nayo hayo. Tusiingilie mambo ya wengine. Ingawaje wakati fulani tunakuwa sahihi na...
12 Reactions
0 Replies
4K Views
Binadamu na utukufu wake wote au uovu wake wote, mwisho wake ni kifo. Wote tutazikwa kule, Maskini kwa tajiri kifo hakichagui. Kinatenda haki kwa wote. Muda wetu wa kuishi duniani ni mfupi mno na...
18 Reactions
0 Replies
4K Views
Dunia ni chuo kama tunaishi kila siku tunajifunza. Toka tunazaliwa tunajifunza. Kwanza tunajifunza kutambaa, kisha kutembea, kusimama na kuongea, alafu tunajifunza mahusiano yetu na wengine...
10 Reactions
0 Replies
3K Views
MOJA YA KURASA YA KITABU CHA KIU YA UZALENDO AMBACHO NILIANDIKA MWAKA 2013 Lakini kwanza ni kwa jamii zetu kuwa na nidhamu, mpangilio na utaratibu. Maendeleo kama maendeleo ni matokeo ya kazi na...
10 Reactions
2 Replies
4K Views
Nadhani badala ya kumshangilia Raisi Magufuli kwa hatua anazochukua katika ukusanyaji na udhibiti wa kodi na matumizi yasiyo ya lazima katika serikali. Ambalo ni jambo la kimsingi . Tujue kwamba...
6 Reactions
1 Replies
4K Views
Uongozi ni sehemu ya mahusiano ya watu. Huwezi kuwa kiongozi mzuri kama huna maarifa katika mahusiano ya watu. Hiki ni kionjo muhimu sana katika uongozi. Watu wengi wanapungukiwa nacho. Ili uwe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Katika mambo ambayo binadamu anatakiwa kulinda ni uhuru wake wa kutoa maoni na jinsi anavyoyaona mambo kwa upande wake. Uhuru huu ni msingi muhimu sana kwa jamii yeyote huru. Mtu anaweza kuwa na...
7 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…