Habari hii imenisisimua na kunifurahisha sana. Ni wazi kabisa Buhari na Babantunde wamekuja kwa nia safi ya kufufua uchumi na kuimarisha thamani ya sarafu ya Nigeria Naira.
Tanzania tumefungulia...
Josephus: Whats StrongerWine, Women, or Truth?
Now, in the first year of the kings reign, Darius feasted those that were about him, and those born in his house, with the rulers of the...
Sio lengo la elimu kuzalisha watu wenye tabia mbaya. Bali ni lengo la elimu kuzalisha watu wenye tabia njema ambao watasaidia kupeleka mbele taifa letu.
Elimu inapozalisha watu wenye tabia...
Kumekuwa na mashindano ya kuongelea uadilifu Tanzania mwaka huu na hasa kuangalia wagombea Urais.
Kuna kundi moja kwa nguvu linadai Mgombea Edward Lowassa ni fisadi mkubwa na hastahili kuwa Rais...
Kitu kimoja ambacho nimejifunza katika maisha, huwezi ku control matendo ya watu wengine. Unaweza ku control matendo yako pekee, ambayo uko responsible nayo.
Na maisha yetu yanategemea...
Siasa lazima iongozwe na mantiki huwezi tenganisha siasa na mantiki. Nchi za kipuuzi pekee huweka mantiki pembeni.
Tunapoacha mantiki na kufuata maslahi yetu binafsi huku maslahi ya taifa...
Huu ni wakati wenu ambao mnaishi kwa sasa duniani. Kumbukeni mabadiliko yako ndani yenu. Mnabadilika kutoka utoto kwenda ujana na uzee. Utakapokuwa mzee, hautokuwa kama ulivyokuwa kijana. Unajua...
Niliandika kipande hiki tarehe 8 August 2009
WARAKA WA REVERAND KISHOKA KWA WA TANZANIA
Nimefuatilia kwa karibu sana kuhusu kile kinachoitwa vita ya ufisadi nchini mwetu inayoendeshwa katika...
Waraka wa Mchungaji kwa Watanzania
Ndugu Mtanzania,
Naomba kuwasilisha kwako waraka huu ukiwa ni mwamsho na na hamasa kwetu kama Wananchi na Taifa ili kulikwamua taifa letu kutoka katika...
Ni katika kuitafuta haki, kuondoa fitina, majungu au habari zisizo na mshiko na za kusadikikasadikika.
1. Ufisadi wa Richmond ukoje? Je tunaupembua kama rushwa, kukiukwa sheria & taratibu...
CCM wameshaamua nani watawawakilisha kwenye Ubunge, wamechuja chuya, wametupa makapi na mizoga.
Sasa natoa tahadhari kwa CHADEMA; Ole wenu mkiipokea hii mizoga ya CCM na kuipa kadi na hata...
The Obituary, In Memorium...
In throngs they cheered him, showering and bestowed him praises. And he puffed his chest victoriously as they knighted him The Doc.." But..
But in reality he was...
Wanajamvi,
Hiki kifungu kimenitatiza kidogo nikiona kwa tafsiri na uelewa wangu ni nguvu gani Serikali Kuu inayo kwenye masuala ya matumizi ya fedha na/au mapato kwamaba bunge halina sauti bali...
Kwanini ni muhimu kwa taifa kujitegemea na ina maana gani taifa kujitegemea ?. Hili ni swalii muhimu kujiuliza kama taifa. Je ni jambo lenye thamani kwetu ama hapana?. Siku za hivi karibuni jamii...
Napenda kuhamasisha wenye kuweza kutujuza reasonable comparison kati ya Magufuli na Lowassa katika kusimamia rasilimali za Taifa. Hili lizingatie wajibu na majukumu yao kama mawaziri, na usimamizi...
Mabibi na mabwana taifa letu linapitia katika kipindi chake kigumu na katika kipindi hiki tunahitajika kutafakari kujua nini changamoto zetu na suluhisho la changamoto hizo. Changamoto hizi...
Mwaka huu ni mwaka muhimu sana kwetu kama taifa. Ni mwaka ambao taifa letu linaenda kwenye uchaguzi kuchagua viongozi wapya katika taifa letu. Kwahiyo nimeona nisikae bila kuandika kitu chochote...
Salaam.
Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wanachama mbalimbali wakiwemo na na viongozi wa ngazi ya Udiwani hadi Taifa kukimbia vyama vyao kuelekea vingine. Hasa hili liitwalo...
CCM ni chama, kinaongozwa na watu ambao wako Serikalini kama viongoZi wenye mamlaka ambao wanajilimbikizia mali kiujanjaujanja, kuruhusu upotevu wa mali ya umma (CAG report) na ufisadi mwingi tuu...
Nilitarajia Operesheni sangara ingeingia kila Wilaya na Mkoa si kujiuza kuhusu CHADEMA na kupiga vita CCM na kuioanisha na UFISADI, bali ni kuwatikisa Wabunge na Serikali za Wilaya.
Naangalia...