Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Amani, Utulivu na Mshikamano. Maisha bora kwa kila Mtanzania. Kasi, Ari na Nguvu Mpya. Hizi tenzi tatu zimekuwa zikiimbwa majukwaani kwa miaka nenda rudi kuonyesha Tanzania kuwa nchi yenye amani...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Sitaongea mengi sana, lakini kama kichwa cha habari kinavyosema, hata katika kundi letu la kondoo au mshikamano wa mikakati ya uchaguzi wa 2015, kuna wenzetu tunaokumbatiana nao ambao ni Yuda...
10 Reactions
1 Replies
3K Views
Nilikuwa mtiifu mkuu wa CHADEMA, Nililia kwasababu ya CHADEMA ila kinachotekea sasa naona kama vile maigizo tena kwa wasanii wa Bongo Movie…!!! -Toka lini Lowasa uliihitaji CHADEMA...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
1. Awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya mpito, inahitaji utashi wa hali ya juu wenye busara na hekima kuturudisha mstari ulionyooka ili tushikamane 2. Ni ndoto, hasa kwa...
6 Reactions
5 Replies
4K Views
..tunaambiwa kwamba huyu bwana amebembelezwa ili agombee. ..taasisi yoyote inapoamua kutafuta mtu wa kuiongoza nje ya taasisi hiyo, basi uwezekano mkubwa ni kwamba walioko mle ndani wamekosa sifa...
8 Reactions
23 Replies
6K Views
Waungwana, Ni nani na ni misingi gani ya utashi iliyojijenga kwenye akili za Julius Kambarage wa Nyerere kutuletea Ujamaa na Kujitegemea na hata Azimio la Arusha? Wengi tunadhania kuwa ni...
6 Reactions
491 Replies
65K Views
Katika hiki Kitab Alf Layla wa Layla, napenda kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Subhana Wataala kwa kutupa Jakaya Mirisho Kikwete kuwa Raisi wetu. We need to thank God for so much blessings to...
13 Reactions
265 Replies
45K Views
Uchaguzi 2015: Itikadi kuu ya kitaifa iwe ni kujenga upya Tanzania, kama Taifa huru yenye kuzingatia vipaumbele vifuatavyo : Utu, Uzalendo, Ufanisi, Uwajibikaji, Uadilifu Uimara na Umoja wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Utangulizi: Kwa wanaonifahamu hapa JF, wanafahamu kuwa siasa zangu ni za mkondo wa kulia zenye kuhimiza maendeleo ya watu binafsi na wakati huohuo kulinda maslahi ya wanyonge (ubebari mwema...
10 Reactions
40 Replies
9K Views
CCM ni wanafiki, walaghai na waoga! Hakuna ambaye anaweza kuniambia kuwa nyakati hizi na mambo yanayotokea Tanzania na ndani ya CCM kuwa kilichotokea Dodoma ndani ya CCM wiki iliyopita na kauli...
9 Reactions
15 Replies
5K Views
Wanajamvi Huu ni mwendelezo wa uzi wa https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/308989-duru-za-siasa-matukio-20.html Tutaangalia matukio mbali mbali yanayotokea nchini na dunia kwa nyakati...
11 Reactions
82 Replies
25K Views
DEAR MZEE MATONYA WA UKWERENI.... Damn, Damn, Damn! Florida Evans would have cursed! Damn, Damn, Damn, Mchungaji Kishoka is cursing! Walahi huu Umatonya umetukaa fiti kama vile kushoneshewa...
1 Reactions
174 Replies
25K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda, hivi ni kweli kuwa Tanzania na watu wake wote ambao ni Milioni 39.999.999 tumekubali kwa urahisi kuongozwa na mtu mmoja na kwamba kila linalokwenda mrama ni yeye...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Benki Kuu imetoa ripoti yake kwa ajili ya mwaka wa fedha 2007/2008 ambayo inaonyesha deni la Taifa kuongezeka kwa takriban 25% katika mwaka mmoja! Deni letu la nje bado ni kubwa ingawa deni la...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kama Taifa, Watanzania tumepoteza uimara na umadhubuti wa kudai kwa nguvu uwajibikaji. Kama Taifa, tumeruhusu uongozi mbovu kushikilia dhamana ya kuliongoza Taifa. Tumefanya hilo kwa hiari...
7 Reactions
4 Replies
4K Views
Hotuba kwa walalahoi wenzangu kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania Ndugu Walalahoi wenzangu, Kwanza nimshukuru mwenyezi Mungu ambaye kwa uwezo wake usiomithilika tumepata pumzi na nguvu...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Watu wanadhani kwamba kufanikiwa ni kuwa na mali nyingi kuna ukweli katika hili jambo? kwamba mtu aliyefanikiwa ni yule mwenye mali nyingi na wote wasionazo hawajafanikiwa? sidhani kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ujumbe wangu leo ni kwa vijana popote walipo katika nchi yetu. Vijana wa aina zote kabisa. Wa mjini na wa vijijini. Walioelimika na wasioelimika. Kama kichwa cha habari kinavyoelezea nataka...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama **** shipping line kati ya South Africa na Tanzania upo?ngarama za kusafirisha pick up unacheza katika kiwango gani?crate lililobeba pikipiki inakuwaje gharama zake? Kuna agent aliyeko hapa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamvi Katika mabandiko 4 yajayo tutangaalia hali ya kisiasa mbali na BMK Tutajadili mbinu na mikakati inayotarajiwa siku za karibuni Namna CCM wanavyohaingaika kujinusuru Na namna UKAWA...
16 Reactions
65 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…