'' He compares the situation to a ship on which the ship owner is hard of hearing, has poor vision, and lacks sea-faring skills. All of the sailors on the ship quarrel over who should be captain...
KWA TAKRIBAN miongo miwili sasa, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia kitengo cha Tanzania Investment Centre (TIC) pamoja na asasi nyingine, imekuwa ikiweka mkazo na jitihada kubwa...
Enough is enough! Kila siku unasikia vioja kila kona, Serikali kuu, Bungeni, mahakamani na mwishowe kwa jamii.
It's about time we find wabia, foreign investors to completely run our country. If...
Vita vya maneno kati ya JK na Kagame vinaasharia jinsi ambavyo Kagame haoni kama JK ana ushawishi au hata ufahamu wa historia ya Rwanda na hivyo kumkejeli jinsi ambavyo anaona inafaa. Kagame...
Wanasiasa wamekuwa wakipigia baragumu la nguvu wakitetea uvunaji wa Uranium kwa matumizi ya uzalishaji wa nishati ya nuklia kwa kututupia peremende zifuatazo:-
1) ndiyo ufumbuzi wa kudumu wa...
Great Thinkers,
Jana nilianzisha uzi kuhusiana na PPP na kutoa maoni yangu ambayo bado yanapatikana kwenye uzi huu CEOs Host Kinana for PPP Presentation Today. Pamoja na ukweli kwamba Mada hii...
Great thinkers:
The following premises are held to be true.
1. The Constitution of Tanzania was written by a group of few men, who haphazardly drafted the holy document without whatsoever even...
Kuendelea kwa taifa lolote hutegemea sana nguvu kazi iliyo nayo, nidhamu, uzalendo na elimu mahsusi kuleta maendeleo jamii inayo yahitaji kwa ujumla, ili kufanya taifa liendelee.
Misingi ya...
Inawezekana Serikali ikawa haishtushwi na mchezo wa triple K, kisa hasa ni kiburi cha kuwakumbatia mataifa makubwa mawili Duniani China na Marekani, na kuthibitisha hilo viongozi hao wamekuwa na...
OPEN LETTER TO PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Tanzania's Public Safety and Security: Whither the classic "fire brigade" approach?
By a Concerned Citizen...
Ni zaidi ya miaka 50 sasa, tangu nchi ya kwanza Afrika kupata uhuru, na miaka karibia 20 tangu nchi ya mwisho ipate uhuru.
Katika kipindi hiki chote kila taifa limejitahidi kujitutumua kuimba...
Wanajamii, nisaidieni kufikisha ujumbe huu kwa Kagame na viongozi wa Rwanda.
Hadi sasa najiuliza Raisi wa Kagame na baadhi ya mawaziri wake waliwezaje kuropoka maneno waliyosema pale ambapo...
Kuna uhitaji mkubwa wa kubadilisha serikali kwa watu wetu lakini kabla ya kufanya hili ni lazima tufikirie hili. Binafsi naamini mapinduzi ya kweli sio kuondoa serikali madarakani na kuingiza...
MI5, MI6, CIA, KGB, & Mass Mind Control
Crime, Freedom, Government & Politics, Human Rights, Opinion, Russia, Technology, UK, USA & Americas, War, World
secservpicjpgWe are told that we face...
Leo nimependa kuchangia kidogo tu kuhusu nidhamu na umuhimu wake katika kuleta maendeleo ya Taifa lolote lile, ama ya taasisi yoyote ile, ama ya mtu yeyote yule.
Nidhamu ninayoiongelea hapa...
I here attach the presentation done by Ndugu January Makamba at the National CCM Youth Leadership Council. I would want us to review it kidogo.
I like the presentation because it has data that...
Leo sina mengi nawakumbusha ya kwamba ubora wa Taifa lolote lile hutegemea sana na ubora wa mawazo ya watu wanaounda Taifa hilo pamoja na nidhamu ya watu wao. Kwa kuwa mtu ni mawazo anayofikiri...
Mwaka 2005 JK alituahidi Taifa Stars itaenda Ghana hatukwenda na sasa kaahidi Taifa Stars itaenda Brazili kila mtu anajua hatuendi sasa ahadi hizi ni za nini?
Wakati JK anahaha na kupoteza maboya...
Agriculture has bankrolled Tanzanian economy for a long time, contributing as much as 27.8 per cent of the gross domestic product (GDP).It remains potentially the most lucrative sector of the...
Katika Taifa hili naamini kabisa kuna watu bora ambao wanauwezo wa kubadili mwelekeo wa Taifa hili kama wakipewa nafasi.
Wanaoamini katika Taifa hili na uwezo wake wa kufika mbali ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.