Kiongozi ni kama mwendesha farasi, akiwa bora atamwendesha farasi katika mwelekeo maalumu lakini akiwa hajui kumweka sawa farasi atayumbishwa, ni lazima ajue kumshika vizuri farasi na...
Kuna aina mbili za mataifa maskini; Kuna taifa ambalo ni maskini lisilo kuwa na matumaini na kuna taifa ambalo ni maskini lakini lenye jitihada.
Taifa lolote maskini na lenye jitihada ni lazima...
Nilikuwa nasoma kitabu kilichoandikwa na Michael Longfold kiitwacho "The Flag Changed at Midnight: Tanganyika's Progress towards Independence." Katika kitabu hiki, Michael Longfold anaelezea...
Wakuu
Kwa kimombo kama sijakosea maneno hayo ni Patriostism, Efficiency na effectivenss. Kwa kiongozi au mfanya maamuzi yeyote hayo ni mambo matatu muhimu ya Kuzingatia.
Katika Kudadavua...
Tafiti na vipimo mbali mbali vya mahusiano kati ya maendeleo katika jamii na imani za kidini vimebainisha migawanyiko na mahusiano ya imani za kidini kati ya nchi moja na nyingine na mendeleo kwa...
Katika kuangaza macho kwenye media nilikutana na hotuba/mahojiano ya Nyerere na akakiri kwamba wao kama wapigania uhuru hawakuwahi kuleta jambo jipya liwalo lolote katika nchi hii.
Kama ni...
Nimeonelea msome hii taarifa ya BBC kwa malengo matatu
1. Kukumbuka utata wa uwekezaji wa OBC ambao ulimtoa roho Stan Katabalo miaka 20 iliyopita na sasa utawatoa roho wengine
2. Uporaji wa haki...
The special mining licence has been granted to Mantra Tanzania, a subsidiary of Australian company Mantra Resources, acquired by Russian uranium company AtomRedMetZoloto (ARMZ) in 2012. Mkuju...
Juzi hivi Magufuli- Waziri wa Miundo mbinu- alituhadaa pale alipokuwa akifungua mkutano wa TANROADS kule Mwanza kuwa kuanzia sasa fedha za bajeti ya ROAD FUND kuwanufaisha wazawa na kwa kufanya...
Kiini cha kesi ya Raila na CORD dhidi ya tamko la IEBC kuwa Uhuru Muigai Kenyatta alishinda Uraisi wa Kenya ni kuwa zilikuweko mbinu chafu za kuhakikisha mitambo ya IEBC haifanyi kazi hivyo hesabu...
Ilikuwa ni Oktoba 19 mwaka 2009 wakati waziri Mkuu mpya wa serikali ya Ugiriki George Papandreou's alipotangaza kuwa Nakisi kwenye bajeti ya serikali yake itakuwa kubwa kuliko ilivyofikiriwa awali...
Though it was the former president Daniel Arap Moi who cut the political teeth of both Uhuru and Ruto but for some divine intervention it is Ruto and not Uhuru who has been the most effective...
Tukibadili Fikra tutabadili mwelekeo wa Taifa letu kwenye TijaKizazi chetu kinakabiliwa na changamoto nyingi sana kama Taifa. Tumerithi taifa ambalo limegawanyika na lisilokuwa na malengo ya...
Nimeipenda hii makala kama ukisoma mpaka mwisho.Ipo katika JF Blog.
au nenda hapa chini
If the Sumbawanga Magistrate Erred, What about these reckless Drivers? « JamiiForums|TMF Blogs
If the...
Uchaguzi wa viongozi wa TFF umevurugika.Sasa Serikali na FIFA wanaingia na kutoka TFF kutoa maelekezo,ushauri na maagizo kwa uongozi wa sasa wa TFF ulio chini ya Leodgar 'Chilla' Tenga. Kila mtu...
Mikutano karibu yote ya chadema ina wasifu wa jazba, hoja za nguvu na kufoka kunakopita kiasi na hivyo kuwafanya wafuasi wao kuonyesha nia ya kujichukulia sheria mkononi na haya kama hatutaelezana...
Tanzanians are notorious for political rhetoric and obsession at the expense of economic value. This habit has now evolved into a ‘culture'. The Tanzanian Parliament is actively legislating...
Katika sehemu ya kwanza ya Katiba ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kifungu cha cha tatu, hitimisho la Azimio la kuunganisha TANU na ASP linasema hivi:
Tumeamua kwa pamoja kuunda Chama kipya cha...
Wiki kadhaa zilizopita, invisible alileta uzi ulio hoji iwapo Rais Kikwete na Serikali yake wanahusika katika mgogoro wa kidini unaoendelea nchini hivi sasa; Katika uzi huo, invisible alini tag...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.