Likizo yangu ya mwaka huu ilikuwa miongoni mwa likizo bora kama nilivyo tabiri kabla ya hapo.
Kazi zangu ninazozifanya na kunipatia riziki zinanifanya nisitumie muda wangu vyema katika kufikiri...
Ifuatayo ni sehemu ya hotuba maarufu aliyoitoa Bw. Oscar S. Kambona ambaye alikuwa ni Katibu Mkuu wa Chama cha TANU na Waziri katika Baraza la Nyerere. Hotuba hii ilitolewa Bungeni (Dar) na...
My brother and sisters, what do we need in Africa? a Strong President like Chevez, castro and others or strong and functional state institutions?
Labda hiki ni kimoja kati ya mambo ya muhimu...
KWA NINI WAISLAMU HAWANA IMANI NA VITENGO VINAVYOHUSIKA NA TAKWIMU?
Hili ni suala muhimu kulipatia jibu na kulifahamu kwa kina sisi kama Waislamu. Wengi wana maoni kuwa kitendo cha Waislamu...
Leo tarehe 31 / 12 / 2012 Rais wa JMT Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katangaza matokeo ya idadi ya watu Tanzania.Tanzania ina jumla ya watu 44,929,002,Tanzania bara watu 43,625,434 na Zanzibar...
Mimi nikiwa mmoja wa watu ambao tumeweka matumaini makubwa kwa chama cha Chadema kuleta mageuzi nchini nina ushauri mdogo sana kwa Zitto kuhusu SIASA zake na misimamo yake ambayo ndiyo sababu na...
Kunatafsiri tata ya tafakuri dhidi ya hitaji muhimu la Tanzania na watanzania wa leo na wakesho!
Hebu tujiulize watanzania tunajua tunachokihitaji ktk uwanda waleo tuliopo na tuuendeao?
Ni...
Wakuu inaonekana sasa kuwa CCM kama chama, kimeanzisha na kuimarisha propaganda [kudanganya au ku-mislead watu], kutumia mamluki na baadhi ya waliohongwa na kupenyezwa kwenye vyombo vya habari...
Dear JF Esteem members,
It has to be understood that i cherish the beauty of fundamental right to freedom of expression that JF has offered and spearhead on her site, likewise i am astonished at...
MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema
Kwa ufupi
Katika shauri hilo namba 84 la mwaka 1980 lililofunguliwa na William Bakari na mwenzake dhidi...
As much as I would like to appease Dr. Slaa's fanatical base that he is heading to Ikulu comes 2015 but the truth ought to be told much earlier …that they are merely pegging their...
Mwaka 2003 wakati Rais wa Rwanda Paul Kagame akihojiwa na Jarida la News of the World kuhusu Misaada ya kifedha inayotolewa kwa bara la Afrika na kama imeweza kumaliza ufukara na hata kuyahamisha...
Wana JF,
Baada ya maombi ya Yericko Nyerere na Nnauye Jr kuwa wawe na mdahalo wa wazi, JF imeniomba niusimamie mdahalo huo baina ya wawili hawa.
Yatagusiwa masuala kadhaa lakini hatutakwenda...
Maendeleo ya binadamu yamepiga hatua sana pale binadamu walipoamua kuishi pamoja.
Tatizo moja la kimsingi kabisa lililopelekea binadamu kuwa na serikali ni changamoto ambazo binadamu alikuwa...
Kwa sie tuishio mitaani huku Tanzania,hakika kuelekea uchaguzi wa 2015 naona kuna joto ambalo halipaswi kupuuzwa ambalo liko kwenye kada ya wenye ufahamu juu ya nani aweza kuwa RAIS WA TANZANIA...
SEHEMU YA KWANZA
Mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM yaliyotokea hivi karibuni yameleta matumaini kwa baadhi ya watanzania kwamba – ujio wa Mangula utarudisha imani na uhai wa CCM kwa umma...
Katika taifa letu la Tanzania rushwa imeenea katika maeneo mengi hususani kwenye utoaji huduma kwa wananchi (service delivery). Kila taifa hutumia njia tofauti kukabiliana na rushwa, baadhi ya...
Katika kipindi cha hivi karibuni, vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekuja na mbinu mpya za kisiasa ambazo zinahusisha Political Movements (vuguvugu la kisiasa); Vyama hivi ni viwili –...
Hili ni jambo ambalo hunisumbua sana akilini mwangu, na ninaoma tulijadili kwa usikivu bila mipasho na ushabiki, ikiwezekana. Unaweza kuingia ofisini kwa mtu ukamkuta anaongea mambo ya kiumbea na...
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI
Ingawa huu ni mdahalo, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahitaji kuwekwa sawa ili kuepuka upotoshwaji wa hoja. Hivyo nitaomba uvumilivu kidogo. Taifa lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.