Viongozi vijana nchini Tanzania wamegawanyika katika makundi mawili. (1) Real Leaders and (2) Leaders Wannabees.
Aina hizo mbili za viongozi wanaweza kutofautsiha kama ifuatavyo:
Viongozi wa...
The Beautiful Young African Woman And The Old White Lover-A Sickening Trend?
Have you taken a quiet stroll through the priced restaurants in town on a good day or night? Especially the Accramall...
Kwa mzalendo yeyote yule hamu yake kubwa ni kuona Taifa lake likipiga hatua. Mabadiliko haya sio mabadiliko ya mali tu bali total transformation of human being.
Binadamu akibadilika kiakili na...
Kwanza ningependa kumshukuru mungu muumba kunipa nafasi hii ya kuandika waraka huu kwenu ndugu zangu. Namuomba anielekeze fikra nilizonazo zitoke kama ninavyokusudia kutoka kichwani kwangu na...
Wakuu - Heshima Mbele
Naomba kuuliza ni zipi tofauti za madaraka na mamlaka kati ya Meya, Mkuu wa Wilaya na Mbunge. Na mipaka yao ni ipi. Pia kati yao ni nani anaongoza vitengo na taasisi...
Kama ni ya Kisiasa je siasa gani tunataka? Na je siasa hiyo ndiyo itakayoweza kubadili hali duni ya wengi na kuleta hayo yanayodaiwa kuwa ni maisha bora? Na hayo masha bora ni yapi? Ni ya kisasa...
Napendekeza nadharia tete (Hypotheses) zifuatazo, lengo kuu ikiwa ni kutupa sote nafasi ya kuzipima nadharia hizi tete, kwa kutumia uzoefu wetu na uelewa wetu juu ya utamaduni wa CCM, hasa kwa...
Somo la hisabati ni somo ambalo naweza kusema limekuwa ni daraja la mafanikio ya binaadamu kitaaluma (ambayo mpaka sasa duniani kote ndio kitu kinachochukuliwa kama mlango wa mafanikio ya kimaisha...
Lifuatalo ni zoezi la utabiri juu ya mshindi Urais uchaguzi Mkuu 2015 baina ya CCM na Chadema; Lakini kabla hatujaenda kwenye hatua nyingine yoyote, ningependa kuwasilisha takwimu za idadi ya...
Obama kafanikiwa kutetea kiti chake cha urais. Uchaguzi umeenda haraka na kwa uwazi na matokeo yametoka bila kigugumizi. Mshindani wake kakubali matokeo na mwisho wa siku maisha yanaendelea...
Na. Martin M. Malima
Tangazo la Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe la kugombea Urais kama atapitishwa na Chama chake cha Chadema linaripotiwa na vyombo vya habari kuzua tafrani...
Wakuu inaweza kuwa ni rahisi sana kunyosheana vidole na kuumizana kutokana na hali inayoendelea sasa hapa Tanzania.
Naona ni busara tukijadili THEORIES zinazoweza kutueleza ni kwanini hili...
Kwanza niseme RUSHWA kama neno lilivyo ni KOSA pale linapotawala jamii fulani
Lakini kwa mantiki ya KUOMBA na KUPOKEA SIO kosa hata kama ulichoomba ni rushwa, kifo au Sumu!
Bado wahusika...
Salaam wana JF,
Ikiwa imebaki miaka mitatu kufika mwaka 2015, yaani ukomo wa muda Umoja wa Mataifa(UN) iliyotoa kwa nchi 193 wanachama(miaka 15 toka mwaka 2000), malengo kadha wa kadha(Malengo...
Heshima Mbele
Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua?
Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa...
Ningependa kujua ni sababu gani iliyomfanya Nyerere ajikite zaidi katika juhudi za ukombozi wa bara la Afrika kiasi cha kumfanya atumie muda mwingi, rasilimali za Taifa na maisha ya Watanzania...
DHANA YA 'DAMAGE CONTROL'
Kwa mara ya mwisho tuligusia namna ambayo siku 14 zilipita bila uongozi wa Chadema kutoa ufafanuzi , maelezo au majibu sakata la AR.
Siku 14 ni nyingi sana kuachia...
Jana nimepata fursa ya kusoma taarifa za kamati mbili zilizokuwa zinachunguza tukio la kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Channel ten Daudi Mwangosi. Lakini kikubwa nilichokuwa nakisubiri ni ripoti...
Ndugu wana Jamii ya wazalendo,
Ni dhahiri kabisa sera ya majimbo ya chadema yenye lengo la kurejesha mamlaka kwa wananchi, na kuondoa mamlaka ya wateule wachache kama wakuu wa mikoa na wilaya...