Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Nini Maana ya Utawala Bora? Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka...
11 Reactions
1 Replies
4K Views
SHERIA YA LESENI MIAKA 45 Kauli ya waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Isack Kamwelwe kuhusu umri wa madereva kuendesha malori na vyombo vya abiria imepamba habari za wiki hii Ni...
9 Reactions
21 Replies
13K Views
Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katikati ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi...
17 Reactions
11 Replies
7K Views
MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea...
10 Reactions
2 Replies
6K Views
Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu...
32 Reactions
0 Replies
4K Views
COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus? Basically the title: Here in Tanzania, COVID-19 is spoken about by using...
13 Reactions
531 Replies
211K Views
Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna...
32 Reactions
1 Replies
8K Views
PROCEEDINGS OF THE INTERNATIONAL CONFERENCE ON 8-9 August 2002 Peace, Unity and People – Centred Development The Legacy of Mwalimu Julius K Nyerere OFFICIAL CLOSING ADDRESS By Ambassador...
10 Reactions
16 Replies
7K Views
Kesi ya ugaidi ya Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na Wenzake imeondolewa mahakamani Si sahihi kusema kesi imekwisha, Mahakama inaonyesha 'kuna kesi ya kujibu'' Si sahihi kusema kesi imekwisha...
14 Reactions
4 Replies
5K Views
Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' . Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa. Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa...
14 Reactions
34 Replies
5K Views
Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili Spika asingeweza kutekeleza majukumu...
21 Reactions
128 Replies
27K Views
Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko...
34 Reactions
2 Replies
7K Views
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya...
9 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwanini tunataka kuiondosha CCM ? Hili ni swali ambalo napenda kujiuliza na pengine wananchi Wengine makini wangependa kueleweshwa hadi kuelewa pasipo kuweka propaganda zisizo na maana, Ili...
11 Reactions
6 Replies
5K Views
Uadui kwa taifa ni pamoja na kunyamaza wakati unajua ukimya wako unaangamiza wengi Watanzania, Ni siku nyingine tena ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwamba taifa bado ni moja na lina umoja ule...
2 Reactions
45 Replies
14K Views
Tofauti kati ya mtawala na kiongozi iko katika malengo yao ya kutafuta, kuchukua na kuyatumia madaraka. Hiki ndio kiini cha uongozi na utawala. Kila kitu tunachokiona katika dunia kiwe kizuri...
9 Reactions
2 Replies
10K Views
We must always remember this truth, we must always let this truth sink deep in our consciousness; We will build our nation according to our own thinking, it depend on standard of our thoughts...
23 Reactions
0 Replies
3K Views
Researchers want to expand scientific terms in African languages including Luganda, which is spoken in East Africa. Pictured: student-teachers in Kampala.Credit: Eye Ubiquitous/Alamy There’s no...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia. Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma...
16 Reactions
4 Replies
7K Views
KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na...
11 Reactions
34 Replies
51K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…