Hii ni sehemu ya hansard ya siku ya Julai 15, 2001 (Ijumaa iliyopita) ambapo Zitto alipata nafasi ya kutoa mchango kwenye mapendekezo ya bajeti ya Nishati na Madini. Amezungumzia kwa kirefu kuhusu...
Kuna dadangu mdogo mmoja anataka kuja kusomea mambo hayo ya forensics (nadhani amekuwa kiangalia CSI na NCSI too much) na sasa anataka kujifunza mambo hayo ili kusaidia katika mambo ya kupambana...
It is time for Mr. Rostam Aziz to resign. It is time for him to call quit all his political posts within the ruling party including resigning as the current MP for Igunga. I for one have had...
Wakati tunagombania ulaji wa Vitambulisho vya Taifa, ni lazima tuwe wakweli tujiulize huu uharaka wa kukamilisha hili zoezi, huku ukweli ni kuwa ni asilimia 25 (25%) au juu kidogo ndio watakuwa na...
Kuna kitu nimejaribu kukufanyia utafiti mdogo kwa ajili ya hoja yangu ambayo itaonesha kuwa tatizo la umeme Tanzania linahusiana na CCM hasa baada ya Rais Mwinyi, likaendelezwa na CCM chini ya...
For a political party to be successful it needs to position itself to assume power. For this reason it requires what I would call as the Triangle of Political Victory. In this triangle there are...
Nimekubali, kama ilivyovigumu kwa Ufisadi kuondoka Tanzania kutokana na mfumo wake kuingilia jamii ya Tanzania na kukubalika kuwa ni kitu cha kawaida, ndivyo jinsi CCM ilivyo kwa Watanzania, mtaji...
Mojawapo ya hoja ambazo hatuzikii mara nyingi kwa wale ambao wanambebesha Nyerere lawama na mzigo wa taifa letu kuwa ni yeye ndiye aliyelivuruga ni kuwa Nyerere alipokea taifa lenye hali gani ile...
One has to respond to his majesty, President Jakaya Kikwete on his speech to the participants of Elekezi seminar!
You have asked your appointees to travel the country and get the feel of what...
Your excellency President Kikwete,
I beg to differ with you Sir on your statement during May Day celebrations that we need more investements as a way of improving our living conditions.
What...
What makes us Tanzanians?
Is it the certificate?
Is it because of our parents citizenship?
Is it the language we speak or the color of our skin?
Are we barely inhabitants or actually...
This is not a joke but we are in serious trouble and it appears that nobody has a clue on how to resolve the power crisis or there is no political will to address this with long term goals.
It...
Kwa wale wapenzi wa Mixed Martial Arts, mtaelewa nikisema mtu kawekwa kwenye submission possition.
Ina maana mikono, miguu, shingo, tumbo na mwili mzima umekabwa kabali na huwezi kujinasua na...
Mikataba mingi ya Tanzania ina kifungu kinachosema mkataba ni siri na ukianikwa hadharani ni kosa la jinai. Kwa mantiki hiyo, Tanzania imeendelea kuingia hasara kutokana na mikataba mingi ya ndani...
Nimeona ni vyema kuanzisha mada hii kwa ajili ya haya yaliyojiri bungeni kuhusu Afisa mtendaji mkuu wa TANROADS,Epharaim Mrema ilipostiwa mahali ambako nadhani isingepata attention inayostahili...
Kwa miaka karibu 20, Tanzania imekuwa katika mchakato wa siasa za vyama vingi. Katika miaka hii 20, damu imemwagika, dhuluma imetokea, uonevu na unyanyasaji umeendelezwa, kauli za kudai haki na...
Kama kuna nafasi nzuri sana ya Chadema kuendeleza kuvuma na "mvuto" wao ni kwa sasa hivi wanapowasusia CCM na Kikwete kuleta msukumo wa nguvu sana kuleta mabadiliko ya Katiba na hata sheria za...
Is it possible out of excitement of Wabunge and Madiwani that Chadema loosened its focus to make sure that all presidential votes were counted and secured?
Instead of Mguu Sawa, they all became...
Ndugu zangu,
Isharaha ya Uzalendo wetu iwe ni KULIPA KODI YA MAPATO... na kila asiyelipa kodi tumwone kama si mwenzetu regardless ya cheo chake.
There must not be a zero rate kwenye kodi ya...