Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Our annual revenues out of mining sector (Diamond, Gold, Tanzanite, etc) which contibutes to national GDPis 1.9%! This was declared recently to Taifa. So I wonder when Ashanti, Barrick...
0 Reactions
101 Replies
16K Views
Mzee Kikumbi Mwanza Mpango, maarufu kama King Kiki, ana wimbo wake mmoja maarufu ambao anaimba "fungua njia, kitoto chaanza Tambaa"! Mchungaji anakuomba Mtanzania fungua moyo na njia, Kitoto...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Pamoja na tofauti zetu na mvutano wa hoja tunazojenga kila siku, tunakoelekea ni kwema na kwenye tumaini. Ndiyo, bado hatujaweza kuwa na uwakilishi mzuri, lakini kwa udogo wetu, tunajifunza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Unapotafakari hatima ya Taifa letu na mwelekeo wake, kuna jambo ambalo linaongoza na kutawala mawazo na kauli zetu, suala la Uongozi Bora na Siasa Safi kama tulivyoapa katika Azimio la Arusha...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Jana nimejiuliza sana kwa nini Tanzania tunahangaika na ukosefu wa umeme kila mwaka na hata kuzorotesha uchumi n kukua kwa maendeleo? nikajiuliza ni mvua, mabwawa au mitambo? Nikapata tamati kuwa...
1 Reactions
109 Replies
16K Views
Wanabodi, Naanza kushitukia kwamba kuna mambo yamekuwa yakijadiliwa muda mrefu na wakati mwingine hata hayana tija, wakati mwingine yaki-engage mahakama, serikali na bunge! Je hii haiwezeki...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Ndiyo Mchungaji kakulia kwenye Ujamaa, kalewa mvinyo wa Nyerere na Azimio la Arusha, anapenda haki sawa kwa wananchi. Lakini leo Mchungaji anasema "Ubepari" ndio suluhisho la matatizo yetu...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Yaweza kutokea kwetu? Twaweza kumwambia JK avunje serikali kama haturidhiki? === OTTAWA Canada’s parliamentary opposition reacted with outrage on Thursday after Prime Minister Stephen Harper...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This is a best story coming out of Tarime. Nimeonelea nianzishe maada si kuongelea Uchaguzi wa Tarme bali ni kuhusu CCM, Dola na Wananchi. Nakumbuka enzi za enzi tulikuwa tunavisha Mbwa jezi za...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Yeah, hata mimi nina imani na kudumu kwa kijiwe hiki cha udaku na rumours. Lakini let us be honest with ourselves, this is just a frickin' message board let us not make it like some Lenin Square...
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Baada ya kutupiwa changa kwa hotuba mbofumbofu iliyofanywa na Muungwana wiki iliyopita, wengi wameona kuwa vita imefika ukingoni na tayari kusalimu amri. Ukweli ni kuwa tulifanya kosa moja kubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumaini kila mmoja ni mzima. Hivi Tanzania ni li-inji lililofilisika kabisa kuwa hakuna mwenye kufanya kazi mpaka tume au kamati iundwe? Majuzi kulikuwa na Tume ya Vazi la Taifa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Tarehe kama hii mwaka jana nilitoa hoja Bungeni kuhusu Mkataba wa Buzwagi uliosainiwa kifisadi huko Uingereza. Mengi yametokea katika Taifa letu toka Agosti mwaka 2007. Hebu...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
Yes, I am not as poetic as Pundit, or passionate as Mwanakijiji or full of Data like FMES or critical like Kuhani, BIn Maryam, Mtanzania, Kichuguu, Nyani or Mwafrika wa Kike, but my spirit is full...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
When I look at President Kikwete, try to absorb and understand his leadership and management style, I end up with Hamid Karzai, the interim President of Afhganistan. Both are very good friends...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Maji yanapoanza kukolea joto, msuguano wa chembe chembe zinazounda maji huanza kusuguana na kuanza kutoa mvuke. Kadri jinsi moto unavyoendelea kwa kiwango kile kile au kuongezeka, msuguano wa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
It is interesting to hear that Lowassa was received with maandamano ya watu, zulia jekundu na hata viongozi wa Serikali na Chama walihusika kuandaa shughuli za kumpokea "mfalme" wakati Wananchi...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
This article created a debate in one of forums in 2006. It is worthy to be added here at JF where we have two strong camps that have different perspective on whole Ujamaa and Ujamaa Vijijini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekaa chini na kujiuliza tena, ni jinsi gani kawaida yetu Watanzania kuangalia bajeti yetu kwa kuangalia kuongeza mishahara na kupanda bei kwa bidhaa. Lakini nafikiri mara nyingi huwa tunakaa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakati wa Azimio tulisema ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Hali halisi ya sasa hivi ya Tanzania inatubidi turudi tena na kujiuliza ili tuende tunahitaji nini...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom