Profesa Haruna Ngunguri Lipumba,
Nakuandikia waraka huu wa kiuchungaji ilhali najua marafiki zangu wa CUF watacharuka na kudai naingiia mambo ya ndani.
Leo hii nimewaandikia Chadema...
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Sikuulewa kwa kina maana ya msemo huu wa wahenga kwa muda mrefu, kwani nilitatizwa na ukweli kuwa nyani ni mnyama aliyebobea katika sayansi na sanaa ya...
Nimekaa chini na kujiulizahivi Kikwete anafanya kazi kwa manufaa ya nani?
Kabla ya uchaguzi na hata kesho hii kuna Wakisto wengi wanaoamini kwa nguvu kubwa kuwa Kikwete yupo pale Ikulu...
Duh, Mwaka huu Watanzania watakogwa na kudanganywa hata kwa vitu ambavyo hauhitaji ujuzi mkubwa kung'amua ni upupu.
Mr. President,
We did not need you to travel 10 times to USA at a cost of US...
I guess we have continued to breed a class of "tupotupo" leaders. How can you give such statement which sound as an official statement?
Last week, China played with the interest rates of its...
What I'm about to say will be very unpopular among JF members especially those expecting change in this years elections. We have become like a young basketball player who is excited about the...
It is interesting to hear the silence and vaccum of voices of those who were once at realm of leading Tanzania.
Not to say or demand they should take a side like what is being suggested now...
Paukwa......Pakawa... The house of cards crumbling!
Inafurahisha kuona ni jinsi gani mwamko uliotufikia Watanzani tangu kina Jeetu Patel, Johnson Lukaza na hata sasa Basil Pesambili Mramba na...
April 08, 2010
Jim Sinclair to Host Tanzanian Trip in September
Dear Friends,
I have received numerous expressions of interest from shareholders and other interested parties in regards to a...
Mzee Mwanakijiji,
Kama kuna kituko cha Kisiasa na Uchanga (ndio natumia herufi kubwa kama msisitizo) ambacho kimetokea Tanzania na mchakato wa Siasa, ni vuguvugu la kuanzishwa kwa CCJ na...
Amongst us there are misguided opportunists who swear and wear the nationalism uniform and pretend to be nationalists, but in reality they are using the uniform to hide and mask their true...
Yes Mchungaji knows how to curse and can drop an F bomb in a second and all will be blessed.
Yes I tell it to all the investors who are expoliting Tanzania and look for concesions, free tax...
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Leo hii nakuja na ushauri kwako, tena ukiamua kukaa chini na kutafakari, yawezekana ukaleta mabadiliko makubwa sana ya kuifanya Tanzania iwe fanisi na kupiga hatua...
Naam, nami nikapewa maono ya hatima ya Taifa letu katika njozi.
Tanzania itaruhusu Uraia wa zaidi ya nchi moja, maarufu kama Uduo mwaka huu 2010 kabla ya uchaguzi mkuu.
Kutakuwa na Serikali ya...
Wakubwa salaam,
Ninawaletea hotuba yangu jimboni Kigoma. Asante
HOTUBA YA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA UCHAGUZI JIMBO LA...
Wana JF,
Ninaomba kuwashirikisha katika makala yangu hii kuhusiana na hali ya nchi yetu. Nimeandika kufuatia kauli ya Chiligati kuwa nchi ipo shwari na nini nimeona katika Mkoa wa Kwanza wa...
Baada ya kupitia kanuni za Bunge letu kama nilivyoambatanisha, mimi kama Mtanzania naomba kutoa tamko na ombi kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wawasilishe muswaada...
Edward Lowassa is very ambitious man. He is believed to be very industrious.
However, he has been very pushy, arrogant and seeks power at any cost. He behaves like a monster, walking like a...
Ewe Mtanzania,
Chukua muda utafakari unachokisoma hapa, chambua kwa undani ndani ya roho yako ujilize machungu unayoyapata kwa KUSALITIWA na hawa wafuatao ambao ni wawakilishi wako katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.