Our annual revenues out of mining sector (Diamond, Gold, Tanzanite, etc) which contibutes to national GDPis 1.9%!
This was declared recently to Taifa.
So I wonder when Ashanti, Barrick...
Mzee Kikumbi Mwanza Mpango, maarufu kama King Kiki, ana wimbo wake mmoja maarufu ambao anaimba "fungua njia, kitoto chaanza Tambaa"!
Mchungaji anakuomba Mtanzania fungua moyo na njia, Kitoto...
Pamoja na tofauti zetu na mvutano wa hoja tunazojenga kila siku, tunakoelekea ni kwema na kwenye tumaini.
Ndiyo, bado hatujaweza kuwa na uwakilishi mzuri, lakini kwa udogo wetu, tunajifunza...
Unapotafakari hatima ya Taifa letu na mwelekeo wake, kuna jambo ambalo linaongoza na kutawala mawazo na kauli zetu, suala la Uongozi Bora na Siasa Safi kama tulivyoapa katika Azimio la Arusha...
Jana nimejiuliza sana kwa nini Tanzania tunahangaika na ukosefu wa umeme kila mwaka na hata kuzorotesha uchumi n kukua kwa maendeleo? nikajiuliza ni mvua, mabwawa au mitambo? Nikapata tamati kuwa...
Wanabodi,
Naanza kushitukia kwamba kuna mambo yamekuwa yakijadiliwa muda mrefu na wakati mwingine hata hayana tija, wakati mwingine yaki-engage mahakama, serikali na bunge!
Je hii haiwezeki...
Ndiyo Mchungaji kakulia kwenye Ujamaa, kalewa mvinyo wa Nyerere na Azimio la Arusha, anapenda haki sawa kwa wananchi.
Lakini leo Mchungaji anasema "Ubepari" ndio suluhisho la matatizo yetu...
Yaweza kutokea kwetu?
Twaweza kumwambia JK avunje serikali kama haturidhiki?
===
OTTAWA Canada’s parliamentary opposition reacted with outrage on Thursday after Prime Minister Stephen Harper...
This is a best story coming out of Tarime. Nimeonelea nianzishe maada si kuongelea Uchaguzi wa Tarme bali ni kuhusu CCM, Dola na Wananchi.
Nakumbuka enzi za enzi tulikuwa tunavisha Mbwa jezi za...
Yeah, hata mimi nina imani na kudumu kwa kijiwe hiki cha udaku na rumours. Lakini let us be honest with ourselves, this is just a frickin' message board let us not make it like some Lenin Square...
Baada ya kutupiwa changa kwa hotuba mbofumbofu iliyofanywa na Muungwana wiki iliyopita, wengi wameona kuwa vita imefika ukingoni na tayari kusalimu amri.
Ukweli ni kuwa tulifanya kosa moja kubwa...
Natumaini kila mmoja ni mzima.
Hivi Tanzania ni li-inji lililofilisika kabisa kuwa hakuna mwenye kufanya kazi mpaka tume au kamati iundwe?
Majuzi kulikuwa na Tume ya Vazi la Taifa...
Ndugu zangu,
Tarehe kama hii mwaka jana nilitoa hoja Bungeni kuhusu Mkataba wa Buzwagi uliosainiwa kifisadi huko Uingereza.
Mengi yametokea katika Taifa letu toka Agosti mwaka 2007. Hebu...
Yes, I am not as poetic as Pundit, or passionate as Mwanakijiji or full of Data like FMES or critical like Kuhani, BIn Maryam, Mtanzania, Kichuguu, Nyani or Mwafrika wa Kike, but my spirit is full...
When I look at President Kikwete, try to absorb and understand his leadership and management style, I end up with Hamid Karzai, the interim President of Afhganistan.
Both are very good friends...
Maji yanapoanza kukolea joto, msuguano wa chembe chembe zinazounda maji huanza kusuguana na kuanza kutoa mvuke. Kadri jinsi moto unavyoendelea kwa kiwango kile kile au kuongezeka, msuguano wa...
It is interesting to hear that Lowassa was received with maandamano ya watu, zulia jekundu na hata viongozi wa Serikali na Chama walihusika kuandaa shughuli za kumpokea "mfalme" wakati Wananchi...
This article created a debate in one of forums in 2006. It is worthy to be added here at JF where we have two strong camps that have different perspective on whole Ujamaa and Ujamaa Vijijini...
Nimekaa chini na kujiuliza tena, ni jinsi gani kawaida yetu Watanzania kuangalia bajeti yetu kwa kuangalia kuongeza mishahara na kupanda bei kwa bidhaa. Lakini nafikiri mara nyingi huwa tunakaa...
Wakati wa Azimio tulisema ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora.
Hali halisi ya sasa hivi ya Tanzania inatubidi turudi tena na kujiuliza ili tuende tunahitaji nini...