Possible Antidote for the V-Serum and the Current Spike Protein Contagion
Dr. Judy Mikovits (1 min. MP4 is attached) has revealed that the medical establishment has known all along about the...
Tokea enzi za utumwa mpaka sasa bado tuna changamoto nyingi sana tunakabiliana nazo kama taifa na kama watu weusi. Sababu ambazo zilitupelekea sisi kutaliwa nyingi bado tunazo., tunaishi na...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema.
"Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia."...
Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni...
Mjadala wetu utakuwa na sehemu SITA kama ifuatavyo:
Kufuatia utangulizi, sehemu ya kwanza itaangalia kwa kifupi historia ya nafasi ya Makamu wa Rais katika jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika...
Habari Great Thinkers ....
Katika jamii zetu za kiafrika kumekuwa na mambo(desturi) kadha wa kadha ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikitudumaza ama kutuchelewesha kwenye maendeleo...
History's 10 greatest entrepreneurs
This list of truly entrepreneurs were able to spot markets and opportunities and trends that no one else sees. Their visions, when realized, have the power to...
Wanajamvi
Uchaguzi wa US umekamilika jana baada ya D.J Trump kuwa Rais wa 45
Leo ilikuwa siku ya kwanza kamili ya Trump kama Rais wa US
Uzi utakuwa utaangalia serikali mpya na mwelekeo wa siasa...
Wakati mwingine tunafikiri hasi kuhusu sisi wenyewe. Hii ni hatari sana kwetu. Tukifikiri hasi kuhusu sisi wenyewe tunazuia ukuaji wetu na tunajidumaza. Pengine tunapaswa kukaa na kujitafakari...
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU!
Uthubutu...
Mwenye busara hutumia hekima kwanza kabla ya nguvu. Faida ya kutumia hekima kabla ya nguvu uwapa ufahamu wale wanaotakiwa nguvu itumike kwao ili wajielewe.
Na kujielewa ni jambo ambalo taifa...
Hata mbwa anaweza kufundishwa na kufanya baadhi ya mambo, binadamu anapaswa kuwa juu ya kufundishwa.
ANAWAJIBIKA kwa kutumia akili yake mwenyewe kuzalisha maarifa sio kupokea tu maarifa...
Uwepo wa polisi, mahakama, jeshi na majela, ni ushahidi kwamba ubaya upo. Lakini je ubaya unatoka wapi? Kwa shetani?
Ukweli ni kwamba ubaya tumeutengeneza wenyewe na tunauwezo wa kuuondoa.
Au...
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya...
Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na...
Wale wanaopenda ukweli hawaangalii nani kauongea, ana umaarufu kiasi gani, ana cheo kiasi gani au ana kiasi gani katika akaunti yake benki. Ukweli ni ukweli hata ukiongewa na mtu mwenye viraka...
Kiwanda cha Bodaboda
Ikiwa kichwa cha habari kimekufanya uwaze mitambo ya kutengeneza pikipiki, karibu kwenye mada.
Mada hii si kuhusu mitambo ya kutengeza pikipiki (factory). Mada hii inahusu...
Umewahi kufikiri inawezekanaje nchi kubwa kama Tanzania kuwe na upungufu wa ajira tena sio tu kwenye sekta binafsi bali hali ni mbaya zaidi Serikalini .
Kumekuwa na mazoea kuifanya hali hii kuwa...
Nashukuru nilipata bahati ya kutembelea baadhi ya nchi zilizoendelea na zile ambazo bado. Safari hizo zilinipa fursa ya kutafuta jibu la maswali yaliyosumbua kwa miaka mingi:
1. Mataifa...
Wanajamvi kwa ujumla,
Tarehe 23 June 2003 ni siku ya tukio muhimu katika bara Ulaya. Britain itapiga kura ya maoni (referendum) kuamua ibaki Ulaya (EU) au itajiondoa. Hii si mara ya kwanza...