Habarini wakuu.
Iko hivi, utafiti wa dawa hadi ikaingia sokoni ni gharama kubwa sana na una mlolongo mrefu balaa.
Hugharimu mabilioni ya dola na makumi ya miaka.
Makampuni mengi kabla ya kufanya...
I rarely contribute on threads whose prime reason is discussing someone, but this got me! This is purely flawed phylosophy and logic. Who said that Nyerere was not predictable on matters of...
Tanzania ni nchi inayofaa sana kwa kilimo tuna ardhi nzuri na kubwa sana, pia tuna maji mengi sana. Ni moja ya nchi zenye maji mengi duniani lakini ajabu yetu kilimo chetu ni cha kimaskini kupita...
Wakuu Great thinkers, napenda mijadala ya kwenye jukwaa hili maana wachangiaji na wakosoaji wanaotumia hoja na busara kuchangia, kukosoa, kushauri na kurekebisha. Watunga sera makini wanafuatilia...
Habari Wana JF,
Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa...
Sehemu ya I
MABADILIKO YA MWENENDO WA SIASA ZA NCHI
CCM WATUA, CDM/UKAWA WABEBA. LOWASSA 'FACTOR'
Mchakato wa wagombea Urais ndani ya CCM umebadili mwenendo wa siasa nchini
Kukatwa kwa jina la...
Hudhaniwa na wengi kwamba Marekani hupenda sana vita, hasa kwa nchi zenye mafuta. Vita ni moja ya mbinu za kupata uwanja wa kujigemea mafuta wapendavyo. Dhana hii inaweza kuwa yakinzana na...
Kwa nini members wengi wanajadili sana maswala ya Rwanda, Burundi, Kenya, Somalia kuliko mambo yanayowahusu hususan yanayotokea ndani ya Tanzania?
Pamoja na kuwa member wa hii forum kwa muda...
Wakuu habari
Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini...
Kati ya tukio lililochukua headlines kwenye mchakato wa CCM kuwapata wagombea wake wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ni kitendo cha Mwenyekiti wa muda wote na mmiliki wa...
Uzuri wake ni kuwa nchi ikipitia depression pesa yako haitapoteza thamani. Unaweza kuhifadhi kwa Japanese Yen, British £ au USA $ au hata €.
Si lazima uwe na ma hela, hizi 40,000 au laki...
Dr Kitila Mkumbo anakula matapishi yake
ACT kuvuruga juhudi za katiba ya Wananchi
CCM yapumua, ujio wa ACTkupunguza nguvu za upinzani
Wanajamvi,
Siku za karibuni chama kipya cha ACT(Alliance...
Uchaguzi Marekani
UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI
Baada ya kumalizika chaguzi za ndani ya vyama, kilichopo ni uchaguzi mkuu wa Marekani
Wagombea ni Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa...
Habari wanaJamiiForums,
Kuwa makini na mawazo yako, muelekeo wa maisha yako unategemea sana aina ya mawazo unayoyakaribisha kichwani mwako, tofauti kati ya mtu mwovu na mwema ni mawazo yao na...
Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu...
I was reading an article on the political economy of Tanzania, which discusses a number of issues including the state of CCM and opposition in the country. One of the issues that is extensively...
Pana haja ya kuanzishwa (iwapo bado) shirika mahsusi wa kutoa misaada itokayo nchi za Afrika kwenda nje ya Afrika. Sikumbuki kusikia shirika la misaada la nchi yoyote ya Kiafrika. Kama lipo...
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni umaikini, umadhubuti, uwajibikaji wa usimamizi wa kanuni, sheria hata katiba!
Si kweli kuwa sheria nyingi ni dhaifu, butu au hakuna "makali" ya...
Well, heshima mbele sana JF,
- Ninaomba kusema tena na tena, we were Dead wrong na idea za Azimio La Arusha, infact ndilo limetufikisha hapa tulipo yaani tumekwama hili taifa, hatujui...