Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru watanzania wote tungependa kujua bajeti na matumizi ya fedha katika kila wizara idara na taasisi za serikali ilizotumia kAtika shamrashamra zote zilizofanyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nini malengo ya Bush kuja Tanzania mara kwa mara?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu swali nililokuwa najiuliza sikunyingi tangia Jk aanze kuikwepa Arusha ni kama maadhimishi ya miaka 50 yangefanyika Arusha asingehudhuria? Maana amekuwa akikwepa sana kwenda huko na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii, salaam!!! Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari mbalimbali vya huko nyumbani na hata mitandao ya kijamii. Katika pitapita zangu ndani ya jamiiforums, nimekutana na thread isemayo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hali hii inatisha kwa upande wa TZ, Wakati Tanzania mpaka sasa idadi ya wanasheria (mawakili) hawafiki 2000. Kenya inaongoza ikiwa na wanasheria 8000. Uganda inao 4000. Ni nini tatizo hapa waungwana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimepokea ujumbe nikiitajika kuandika barua ya kudai hela ya muda wa ziada kazini (extra duty allowance) Nimeambiwa kabla ya saa sita leo mchana niwe nimeandika barua ya madai! Swali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna ubishi uanendelea hapa mtaani, inavyoelekea hakuna hitimisho litakalofikiwa. So, wakuu naomba mnisaidie kujua japo kwa faida yangu. Issue yenyewe ni hivi: Iwapo bunge kwa kauli moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba mbovu nyinyi, mishahara midogo nyinyi, malimbikizi nyinyi, hivi nyinyi walimu mnajitambua kweli au kazi yenu kuwafanya wengine wajitambue. amkeni walimu kila mtu atabeba mzigo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri mkuu pia ashindwa kuondoka. Pia abiria ambao flights zao zipo destined to Dar es salaam na Kilimanjaro, nao wamekwama. Run way haionekani baada ya uwanja wote kufunikwa na maji...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Serikali kuenzi miaka 50 ya uhuru mwaka huu ni wiz mtupu kwa sababu pesa zilizotumika na zinzozidi tumika juu ya kumbukumbu hizi ni kufulu, can imagine km wizara moja na idara zake kuazimisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna ajali mbaya imetokea Tank bovu. Magari mawili madogo yamegongana na kuharibika sana. Cha ajabu aliye sababisha ajali alikimbia bila kujua kuwa gari lake limepata pancha tairi zote za mbele...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nauchungu jamani kuona siasa za tz humiliated na dola; nauchungu kuona mkuu wa nchi anashindwa kuicomand system mpaka inafikia hatua mafisadi wanaombwa kujitokeza wenyewe badala ya mkuu kuwatoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakaribia kufika Iringa. Na upendo bus.tonda imepata ajari a kugonga semi iliyokuwa imeharibika pembeni.inasemekana driver Kafa. majeruhi na abiria wengine wa tonda tumewabeba ndani ya upendo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF, hii nishati ya petroli imekuwa adimu tangu jana jioni, je ni mgomo baridi au?? Pale Total ya Mlimani City hawana mafuta ya petrol tangu jana mpaka leo asubuhi, BP - Kimara Baruti nako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama kuu ya kenya jana ilitoa amri ya kukamatwa raisi wa sudan omar al bashir. amri hii ya mahakama ya kenya imepelekea serikali ya sudan kumtimua balozi wa kenya nchini sudan na kumwamuru...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada ninakusudia kusafiri kwa gari ndogo kwenda rufiji lengo ni kwenda kuongea na wanavijiji wanaoishi pembezoni mwa delta ya rufiji, je ninapitia njia gani? Ni lami tupu? Je gari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Ni imani yangu kuwa wengi mko katika hali nzuri kiafya, kama ni hivyo Inshalah! Kimsingi inasikitisha kuona baadhi ya watu wakishiriki mjadala kupitia tovuti yetu bila kufanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana nilipigwa butwaa kwenye makala ya Kijambo cha wiki cha Mlimani Tv. Niliona wanafunzi wa shule ya masingi wanaosoma chini ya mti. Ubao wa kuandikia ni vipande vipande vya ajabu vimeshikiliwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kuona Kituo cha Polisi Himo kinahusika kuruhusu mahindi pamoja na sukari inayopelekwa nchini Kenya. Iko hivi: wameweka barier kwenye barabara za Holili na Marangu na pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiitizama ramani ya Tanganyika huru huwa najiuliza makusudi ya mbunifu wa mipaka yake. Unaweza kuona wazi kuwa ni nchi liyopewa nafasi kwa upendeleo mkubwa. Pengine aliyekuwa akigawa mipaka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom