Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau, katika kupitia baadhi ya posts nimegundua baadhi ya wanajamii wengine huwa hawatumii maneno mazuri kabisa katika kukosoa mada husika! Najua hata baada ya kuandika hivyi kuna ambao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesi ya Jerry Muro imekwisha. Mengi yamesemwa juu ya kesi yake. Wapo waliosema alibambikizwa na wengine wakasema tuhuma zilizokuwa zikimkabili ni za kweli. Kwa wanaofahamu sheria, kesi ikishafika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona Kuna Watu Wanaishusha hadhi jamii forum kwa kupost mada zisizo kuwa na akili...,kisa tu Itikadi za kichama,au chuki binafsi...! Jamani Dk.Slaa Mwacheni Kumwandama kwani Sifa zake au C.V yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau bado lile wimbi la mauji ya wanafunzi wa kiafrika hasa wenye ngozi nyeusi wanaosoma Urusi linaendelea.Baada ya kuripotiwa mauaji ya mwanafunzi kutoka Zambia na baadaye Nigeria,sasa hivi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu leo nimetimiza miezi miwili tangu nihamie Njiro kwa Msolla.Njiro ni sehemu ambayo imepangika (imepimwa)bila shaka hii ni sababu kubwa iliyonivutia kujenga hili kukwepa hadhaa ya msongamano...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Mrembo wa Tanzania Aolewa na Kibabu cha Kiingereza, Anusurika Kukatwa Mikono Yake Sunday, December 04, 2011 Mwanamke mrembo wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25 tu amekiona cha moto baada ya...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bandugu hivi ni kweli kijana falli ipupa anakuja arusha matonge club mwenye habari kamili atujuze pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ikiwa kutakuwa na taarifa za ki-intelinsia ya kuwepo uwezekano wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya sherehe ya Uhuru wa Tanganyika kushambilwa na Alshabab, basi polisi ipige marufuku kufanyika...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Monday, December 5, 2011NDEGE YA UPEPELEZI YA MAREKANI YASHUSHWA NA IRAN Jeshi la Iran linasema kuwa limedungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani, mashariki mwa nchi, na italipiza kisasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya kama kawaida yetu Tz Tunawaambia nyie UK,kuwa hatuna nia ya kuwashitaki hawa jamaa waliopiga pesa ya rada hapa Tz,mpaka nyie mtuonyeshe mliowashitaki huko kwenu UK Acheni watu wetu wabalizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu Balozi Tim Clarke anawakilisha Umoja wa Ulaya hapa Tanzania. Umoja wa Ulaya ni mjumuiko wa watawala wetu wa zamani kabla hatujapata uhuru. Hata hivyo mwenendo wa huyu balozi hauonyeshi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I was on the web browsing and luckily i saw this article. I found it handy,please read it. How Is Your Child Smart? Boost your child's success by understanding his learning style. By Thomas R...
10 Reactions
22 Replies
4K Views
Sadam Hussein alisifika kwa silaha ikiwemo ndege za kivita, akawekewa hiyo sanction, na haikuruka ndege hata moja. Haya hayo yakamkuta Gadhafi. Je nini hufanyika mpaka ushindwe kurusha ndege zako ?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanabodi Mzee David Wakati, amezikwa leo jioni katika makaburi ya Kinondoni. Mazishi hayo yamehudhuriwa na umati wa watu, wakiwemo mawaziri, wanasiasa, viongozi wakuu wa dini, waandishi wa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa namba.0652993219,bei ni 200000,mi niko temeke dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jamii, Mimi Kama mdau wa michezo hususani mpira wa miguu nimekua nikifuatilia kwa ukaribu michuano ya CECAFA inayoendelea hapa jijini Dar es Salaam. Ila nimesikitishwa sana na viwango duni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dah!! madeni yamenizonga na sasa tumeanza mwezi mwingine. Kuna yeyote ana taarifa kwa nini tumecheleweshewa mshahara?? Nasikia wengine wamepata ila sisi hata dalili hakuna, kila unayemuuliza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwanza nikupongeze Jerry Muro kwa kushinda kesi yako dhidi ya Jamhuri, na baadae kujipatia tuzo ya ubora wa kazi zako na kile kilichoitwa ujasiri wako katika kufichua maovu yaliyopo ndani ya...
1 Reactions
95 Replies
9K Views
Naamini watz wengi bado wamepigwa na butwaa baada ya watu wa cuf waliounga mkono kwa 100% mswada wa kuunda kamati ya katiba bungeni hivi karibuni wanaenda ikulu kumuona Rais JK. Leo akiongea na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom