Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanajf naomba msaada nifanye nini na hawa paka wa jirani ana paka zaid ya mmoja na usiku wanapanda batini na kuleta usumbufu hivi nifanye nini kuwadhibiti hawa paka batini kwangu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Habari zenu. Niko kwenye basi nikisafiri toka Moshi kuelekea Chalinze. Tukiwa eneo la Mombo,kwenye kibao cha Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, tumesimamishwa na polis na jamaa wengine...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani wanajamii forum,na wale wahusika wa Nishati na Madini,naomba nichochee wakazi wa Chita wagomee sherehe za miaka 50 ya uhuru kwa ukatili wanaofanyiwa na TANESCO kunyimwa umeme,wanaishia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mataifa yaliyoendelea ni matokeo, pamoja na mambo mengine, ya kusema ukweli na kusahihishana ikiwa ni pamoja na kuwajibishana. Sisi kazi yetu ni uongo na kuogopana. Hivi kweli tunasherekea miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg wana Jf na Watanzania wote! Nimeamua kuandika ujumbe huu uwafikie Mtandao wa tiGO. Katika mitandao ambayo inaiba waziwazi basi TiGO ni no 1. Hivi karibuni kumekuwa na huduma feki za kutuibia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetazama mwenendo mzima wa kura zinavyoendelea kwenye blog hii na kuona leo asubuhi jinsi ambavyo blog hii inavyojaribu kumpigia kampeni dewji na january makamba kwa namna ambayo mtu makini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yaani kwa akili ya kawaida tu utaona migomo ya walimu na hata wa sasa wa Madokta imeenda shule. Migomo ya tz ni ya kuviziana tu haina usiriazi hata kidogo,sijui ni kiwango cha ilmu au nini? I...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukiwa unaendesha gari barabarani jijini dar-es-salaam utaona mabango tele ya biashara na matangazo mengine. Nilipata nafasi na kuishi nje ya Tanzania na kulikuwa na campaign ya kuelimisha watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau hii hotel zamani ilikuwa inaitwa Sheraton wakaja wawekezaji wakachuma faida bila kulipa kodi wakabadili jina ikawa Movenpick Royal Palm wawekezaji wamechuuma weee sasa karibia miaka mitano...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo nimekuja Iringa, nime nunua vocha ya airtel na kuingiza mara msg 2 zikaingia. ya kwanza ni zawadi ya sms 100 na ya pili ni kifurushi cha mb 200. nikaanza kujiuliza inamaana hizi zawadi ni kwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Akili imchoshwa na mambo ya siasa. Najaribu kufikiria uzuri wa noti utakavyokuwa kama zitawekwa sura za watu hawa. BI KIDUDE, ANNA MAKINDA, ANNA TIBAIJUKA na mwana wa mkulima MIZENGO, nahisi noti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati CCM na serikali yake wamejikita ktk mbio za urais 2015, kwa nahodha asiyejua bandari aendayo, hakuna upepo ulio muafaka kwake. na hii ndio hali tuliyonayo watanzania chini...
1 Reactions
0 Replies
938 Views
Nimesikitistishwa sana na matamko yanayotolewa katika kipindi hiki ambapo hali ya uchumi nchini kwetu ni mbaya. Ni afadhali kuwaambia wajue kabisa kwamba kama wao wanatuforce msaada kwa ushoga na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Madaktari wanaomtibu dr mwakyembe apollo-india wataamua kama wataendelea na matibabu au arejeshwe nyumbani!hivyo kusubiri uamuzi wa mungu kumponya au laa
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wapendwa leo ni jumatatu ni wiki toka nitoke kumzika mama yetu mdogo( Marehemu Naomi Charles Ntinginya au Mrs Naomi Kiula) aliyekutwa na mauti katika ajali mbaya ya ubungo hapo tarehe 23 Novemba...
3 Reactions
28 Replies
8K Views
Huyu Viki Kamata ni nani ati?? Msaada tutani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kalenda inaonyesha ilikuwa ni siku ya jumamosi.kwa wale wa enzi hizo mnaweza kutueleza mlikuwa wapi siku hiyo?naomba uzoefu wenu.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimesikia hili jengo jipya karibu na PPF TOWER linalomilikiwa na PSPF litaitwa J Kikwete pension Tower.....aisee imeniuma sana sidhani kama Kikwete ana deserve hilo....bora lingeitwa Zamoyoni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Julius Malema and His US$17,000 Breitling Watch ANC Youth League (ANCYL) president Julius Malema's company has won at least R140?million in government tenders over the past two years, a City...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Yapo mambo ya kusimuliwa yako mambo ya kuona kuhusu miaka hamsini ya UHURU wa Tanganyika. Mbwembwe za kila aina zimesheheni ufisadi wa hali ya juu.Kweli kweli ukishangaa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom