Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo wanatangaza kwa ENGLISH mechi ya Tanganyika na uganda!Nahisi kama naangalia UEFA.Tendo linakwenda na mpira.Watangazaji wa kibongo goli halijaingia yeye kisha shangilia.Tayari tuna goli 1...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rwanda Television kwa mlio nje ya bongo match live hiyo ingawa tushafungwa la pili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati nikiwa shule nilifundishwa wimbo wa taifa ni moja ya vitambulisho vya taifa kama ilivyo bendera ya taifa ambayo huwezi kuibadilisha kirahisi, leo nimesikia radio clouds wameufanyia remix...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi’, anaendelea kusakamwa na wagonjwa wanaodai hawakuponyeshwa na dawa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nimekamata gazeti la mwananchi la leo ukurasa ule wa 11 nikakutana na kichwa cha habari " Waandishi wakaribia kileleni" Ikanivuta kusoma! Da jamaa yangu Daniel Mjema anasema Gabriel Zakaria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natokea arusha kuja dar, barabara tajwa ni hatari kama ukarabati wa uhakika na mapema hautafanyika, kuna mashimo mengi mno. So take care!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe duka lenu la mlimani city halina CONECTION na UPS..! Umeme ukikatika kila kitu chini.. Mpaka sasa nusu saa hatuna huduma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni baada ya wanachuo kwenda sehemu ya maadhimisho na kuanza kuimba nyimbo na kupiga miluzi. Hii imesababisha eneo hilo kukosa utulivu na usikivu. Mgeni rasmi ambaye ni waziri wa sayansi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu fikiria mwaka 2000 Njelu Kasaka (MB) enzi hizo alikuja shuleni CHUSECO akasema barabara ya chunya mbeya itajengwa kwa rami mara moja.sasa wewe mkaz wa chunya na mpenda maendeleo ubabaishaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
dr kula chrismass tz source gazeti la mwananchi
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau. Kwa kua tarehe 9 mwezi huu ni sherehe za miaka 50 ya uhuru, na police hawajatangaza vitisho vya alshabab, ni vyema basi siku hyo hyo pia baraza la katiba likatangaza maandamano makubwa...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Kwa wakazi wa Arusha na vitongoji vyake, kwa heshima na taazima napenda kuchukua nafasi hii kuwa karibisha leo katika mkesha kuazimisha miaka 50 ya TANGANYIKA nooo Tanzania bara kwenye uwanja wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nani ni masiki kati ya nchi tz na wananchi? Na nini kinasababisha umaskinii kati ya nchi na wananchi?
0 Reactions
0 Replies
941 Views
mi najivunia 'kupata degree yangu ya kwanza kwa pesa za walipa kodi wa tanzania ingawa ninadeni HESLB ambalo sijui kama huya wanayalipaga' Je wewe unajivunia nini katika miaka hii 50 ya uhuru!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli dunia inapotezwa muelekeo wake na watu wachache wenye uwezo wa kupaza sauti zikasikika dunia nzima hasa nchi tajiri za jumuia ya madola hasa uingereza kutetea haki za mashoga pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani nimekaa nikaangalia pande zote za hii Tanzania, ila bado sijaelewa hiyo kesho hiyo sherehe itakuwa vipi, maana ni kubwa eti, waisije wakaleta mambo ya hotuba tu, sherehe ni watu na watu ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cancer Victim: Why I Went Abroad To Die By Thomas Moore, health correspondent | Sky News A woman who travelled abroad to die has told Sky News that politicians denied her the dignity of ending...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Songwe
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Mwekezaji huyu Saza chunya ni kero,toka amefika hapa anapakia mchanga wa dhahabu na kuondoka nao,sasa yale mashimo tutafukia na nini mara madini yatakapoisha?wewe unaejiita diwani wananchi wako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
i mean kanda ya kaskazini na sehemu zote zenye vivutio vya utalii..hii sekta ndio inaongoza kwa kulipa taifa mapato...im not kidding..siongelei AR tu hata circuit ya kusini pia.tano
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom