Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Haya ndo majina{first eleven} ya viongoz wetu kwa kimombo 1.JOHN POMBE MAGUFULI=JOHN BEER LOCKS 2.ZITO KABWE=HEAVY KABWE 3.UKIWAONA DITOPILE=IF YU SEE THEM DITOPILE 4.SHUKURU KAWAMBWA=THANX...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani sana wana jamvi. Nimeamua kuanzisha kampeni ya kuchukua RUSHWA kwa watoa huduma wote kuanzia wale wa umma na wale wa sekta binafsi. Sababu za kuhamasisha kudai rushwa ni:- (i) Kupambana...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Jana nilikuwa na salio la 250/= kumpigia jamaa wa namba ya tigo baada ya dakika 1.01 salio limekwisha DU!
0 Reactions
20 Replies
2K Views
kuna wakati hawa jamaaa waliitikisa nchi na ile issue ya waraka. hivi ni nani na nani wapo nyuma ya hii jumuiya? Ushawishi wao ktk maswala nyeti ya kitaifa ni wa kiasi gani?kwa maslai ya nani...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Hillary Clinton declares 'gay rights are human rights' The US has publicly declared it will fight discrimination against gays and lesbians abroad by using foreign aid and diplomacy to encourage...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kinacho ni shangaza ni kwamba wabunge kila siku wanalilia posho, je wako bungeni ili kujenga ma ekalu? kuendesha magari ya thamani au kuwakilisha wananchi wao? Kwa nn wasiwe na mishara ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu siju kama hii imeshawakuta, jana baada ya kutoka kazini kwangu nilipitia super market moja maeneo ya hapa jengo la ccm mkoa hapa Arusha majira ya saa 1 usiku katika kutaka kununua mahitaji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watanzania mnashangza sana, mnashindwa kuelewa kuwa posho za wabunge zimeongezeka kutokana na ukweli kuwa wao walikuwa wakilipwa kiasi kidogo sana ikilinganishwa na watumishi wengine wa serikali...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Baada ya wabunge kujifikiria wao wenyewe na kujiongezea posho,huku watumishi wengn wakbaki na maisha duni bila mtetezi je! 1.wogome actively 2.wagome passively 3.wazidi kusuburia. Napendekeza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF wenzangu mambo vp? natumai mu wazima.Kama mnakumbuka vizuri kwa siku kama tatu zilizopita niliwasilisha hapa mjengoni juu ya suala zima la upatikanaji wa chaneli zote za hapa tanzania kwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimeshuhudia mara kandaa mijadala yanye mlengo wakidini ikipata nafasi kubwa kuliko mijadala yakitaifa. Utafiti mdogo nilioufanya nimegundua ""miaka ya hivi karibuni"" mwamko wa waTZ kuzungumza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
@salvarweyemamu @daudibalali GTs hizo account mbili nashindwa kuzielewa. Salva anaiponda serikali na ufisadi kupitia hiyo account yake. Cha ajabu zaidi ni huyo jamaa anaeitwa Balali, anadai...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Source clouds fm Lori lililobeba ng'ombe likitokea morogoro kuelekea dsm limegongana na basi la abiria na kusababisha vifo vya watu. 10. Hapo hapo....tupeni updates mliopo eneo la tukio
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Baada ya Muswaada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 umekua sheria baada ya raisi Kikwete kutia saini. Sasa chakunishangaza ni kua Kikwete anauliza eti mwenye maoni kuhusu muswaada wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania, Leo nipo hapa kwenu kuwapa nguvu,hamasa na hali ya kuweza kujikomboa.Tumenyanyaswa vya kutosha tumenyonywa kiasi cha kutosha ila sasa basi,imetosha ndugu Watanzania. Ni wakati...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukubali ukatae uho ndo ukweli halisi.....Just now via Nokia tochi
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekwama mahali na sina vocha, Ninaempigia ambae ndie mwenye ufmbuzi wa tatizo langu hapatikani kwa tigo na najua namba zake zingine za mitandao mingine nashawishika kukopa kwakua sina Jinsi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni siku chache rais wa chama cha walimu Tanzania alitangaza mgogoro na serikali iwampo mpaka Januari watakuwa hawaja lipwa malimbikizo yao! Labda nimkumbushe tu Mkoba, kwamba tatizo si hilo tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nafikiri ni muda muafaka wa kutafakari haya na kuhoji utaifa na manufaa ya kuitwa mtanzania, ni wakati sahihi wa kukataa haya kwa vitendo, tanzania nchi iliyosifika kwa kila kitu sasa imekuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014! Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011! Historia ni historia....huwezi ukaibadilisha.....ukijaribu kuibadilisha unaharibu maana ya historia yenyewe Tuache huu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom