Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri wa Ardhi na makazi mh. Anna Tibaijuka atatembelea ENEO LA MRADI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI[na kufanya mikutano ya hadhara] KAMA IFUATAVYO:-kata ya kigamboni[machava]-tar 6/12/2011, kata ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimefurahi kuona mabadiliko kidogo kama waswahili wasemavyo mficha uchi azai jamani nimeona nisiwe hivyo katika biashara yoyoyte hakuna biashara inayofanyika bila matangazo watu wengi wamekuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba mdau mwenye data anisaidie, naitaji kujua Exchange Rate ya USD 1 = na TZSH ngapi. Naomba mwenye data hasa za jana na juzi ndo muhimu maana daily uchumi unayumba! NOTE: SHUKRANI ZA DHATI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fatou Bensouda from The Gambia is set to be named the new chief prosecutor of the International Criminal Court, diplomats say. Source: BBC Inabidi tuomboleze Jaji mkuu wetu kaukosa ulaji
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Wana JF naomba mdau ambaye anayo softcopy ya Mpango wa maendeleo wa miaka mitano wa Tanzania (2011-2016) anitumie tafadhal. Nawasilisha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma thread ya Faiza Foxy isemayo kuwa Nyerere hakuwahi kuwa raia wa Tanzania. Nimejaribu kuijibu mtandao ukagoma. Kwa ufupi ni kwamba mtu anayeshuku uraia wa Nyerere ni mgonjwa wa akili...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepita hapa mt.meru hotel nasikia usiku kunafundraising inafanywa na kina sitta nyarando na wanasiasa wengi huku wamealika vizito wengi wa hapa arusha.mwenye kujua zaidi atujuze jaman.niko hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna tetesi kuwa Tanzania haina Ubalozi nchini Botswana na badala yake Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ziko Afrika kusini. Kama ni kweli, kwanini inakuwa vile? Je ni nani Balozi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Retired US president George Bush has applauded the government for proper management of aid funds in the health sector, saying his government is keen to continue providing financial support.Bush...
1 Reactions
1 Replies
905 Views
December 03 Saturday 2011-Tanzania | Tourism Advisories Traveller's Guide: Tanzania Mount Kilimanjaro This stunning nation celebrates 50 years of independence on Friday, but its wonders...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Dhana ya kujivua gamba CCM inasuasua kutokana na nguvu ya kisiasa waliyonayo watuhumiwa.Je nguvu hii inatokana na uadilifu au ukwasi? Kama sababu ni uadilifu ni kwa eneo lipi? Na kama ni ukwasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
2nd December 2011 Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Apollo, nchini India, kwa takriban miezi minane...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani, Leo hapa D'Salaam nimepita Bridge street. Wasiofahamu majina ya mitaa hii ni kwamba ni ule mtaa ambao ukiwa unaelekea baharini unapita katikati ya iliyokuwa Forodhani Secondary ikiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna siri kuwa utoaji wa leseni za udereva umegubikwa na rushwa tupu, ndio maana ajali ni nyingi mno. Mtu anayenunua leseni si sawa na yule anayepitia mafunzo halali na intensive, coz hajui...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Suleiman Kova kasema wale majambazi yalio muua mke wa mchina maeneo ya kurasini tarehe 11/10/2011 wamekamatwa. Huyu mchina mwenyewe aliye uwawa ndo yule aliye sababisha wachina waandamane kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
1.Polisi Afrika 2.Polisi Iran 3.Polisi China 4.Polisi Usa haya kazi kwetu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wana jf,siku muro alipokamatwa kamanda kova aliongea na waandishi wa habari kwa ukali kuhusu muro baadhi ya maneno akisema,mwandishi wa habari gani huyu mhalifu hiyo bastola na pingu zinahusiana...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Mataifa wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, yamekubali kumteua Fatou Bensouda kutoka Gambia, kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama hiyo, inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa zamani wa RTD , Mzee DAVID WAKATI amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Regency Upanga. Mzee David Wakati tutakukumbuka kwa umahiri wako katika kazi. Ulikuwa mzalendo wa...
16 Reactions
147 Replies
19K Views
Back
Top Bottom