Jana kwenye taarifa ya habari itv, hawa Winlot wamesema kuwa tz ina mazingira mazuri ya kuchezesha bahati na sibu. Nikaenda mbali zaidi na kugundua kuwa wamefanya kautafiti wakagundua kuwa watz...
panya a.k.a koyo....panya buku, symbils a.k.a ndezi panya na maduduwasha a.k.a viwavi ni chakula cha enzi kwa jamii ya wafipa. Niliwahi tembelea kijiji kimoja kilichopo mpakani mwa zambia na TZ...
kijana mmoja umri miaka 15 - 17 amenusulika kufa ktk ajari ya gari maaeneo ya isamilo mwanza baada ya kupinduka (kichwa chini miguu juuu) na gari la baba yake alilokuwa ameliiba kwa muda ili apige...
ni maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambapo sherehe hizo zilifanyika katika kijiji cha ihayabuyaga kwa ushirikiano wa kata za kisesa na bukandwe, ambapo kivutio kikubwa kilikuwa ni kikundi cha...
Pesa yote imeishia kwenye miaka 50 ya umasikini,ujinga na wizi. Hivi kwa nini hawakubali nchi imewashinda? At MUHIMBILI NATIONAL DISPENSARY ct scan, x ray, ogd na vipimo vingine vingi havifanya...
Thursday, 01 December 2011 20:42
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana , kuhusu mgomo wa walimu nchi nzima...
Sio kwamba hamsikii kila tukiongea kwenye makongamano, migongano ya hoja, vitimoto na maandamano ni kwamba tu mnaziba masikio na hamfikirii kuwa na mipango dhabiti ya maendeleo zaidi mnawaza kula...
Sidhani kama watanzania waleo niwazalendo!
Uzalendo kwetu nimsamiati mgumu sana kamusi zote sidhani kama zaweza kutoa tafsiri ya uzalendo wa watanzania.Naomba nitoe mifano kuntu mitano halafu...
Kuna ajali mbili zimetokea barabara ya Mandela majira ya saa 5 usiku huu, moja maeneo ya Tabata Matumbi, ikijumuisha Semi-Trailer ya DAF na Starlet ndogo ambayo ni taxi, lori limehama njia na...
Nashukuru kwa hii miaka 50 ya uhuru kwani imeleta baraka ya umeme na mgao wa mara kwa mara umepotea.
Kama vipi Tanzania uwe kama wanachuo ambao husogeza birthday zao ili na wao wafanye sherehe na...
Naipenda sana Tanzania Television.Ina vipindi bomba kweli na vyenye mpangilio.Watangazaji wake(Watumishi wa Serikali na Wakuu wa Chama cha Magamba) ni mahiri mno.Wanaweza kucheza na akili za watu...
Nigeria wamepitisha Muswaada Unao tambua ndoa za jinsia moja kuwa ni KOSA LA JINAI.
Adhabu kifungo Jela Miaka 14.
Wale watakao saidia kufanyika kwa ndoa hizo ni JELA miaka 10
Source,Mwanananchi
Mchina mmoja YUXIAN WENG hati ya ukazi RPA O31266 ISSUED DSM 28.7.2O1O amempiga afisa Uhamiaji cpl Mussa Mkubwa Abdallah wa Ilala hadi umepoteza fahamu hadi sasa. Amepelekwa Muhimbili Hospital na...
Nimekutana na mdau mmoja mzito wa Tucta wakiongelea kupanga kuaandaa mgomo mkubwa kutokana na kucheleweshwa mishahara ya wafanyakazi.
Mpaka sasa wafanya kazi wengi kwenye halmashauri hawajapata...
Jana niliongozana na basi dogo limeandikwa nyuma 'Masana Nursing College' likiwa limebeba akina dada na sare za manesi. Kila kituo cha dala dala walikuwa wakirusha vitu kama pakiti hivi...
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud
SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI) limesema Sh40.5 bilioni zimepotea serikalini na viwandani mwaka huu kutokana na makali ya mgawo wa umeme.
Upotevu...
Je iwapo watu wanakutana na uizi ambao siyo rahisi kuushtaki,ni mikakati ganiambayo vyombo husika vinaweza kupanga kuchukua dhidi ya makampuni husika?Unaibiwa 10,000 katika systeem,na unapiga simu...
Pesa imemwagwa ausiri za Jakaya zimefichuka kiasi cha CCM kuamua kuyamaliza kifisadi. Kimsingi,tumenufaika kujua kuwa kumbe Richmond ni wawili yaani Lowassa na Jakaya Kikwetewanaomtumia mwarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.