Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tangu kuanza tena mchakato wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mengi yamejitokeza yakiwemo ya kuongezeka Rwanda na Burundi katika jumuiya hiyo. Sasa kuna maombi ya Sudan yako mezani yakisubiriwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
How very true . . . The world economy is going thru major slowdown. Countries and currencies will be affected in many parts of the world, in Tanzania we have seen the Tanzanian Shilling moving...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
:embarassed2:Matangazo kama haya kweli yanastahili kurushwa asubui na mchana? Na sio kuanzia saa 3 usiku na kuendelea, sababu ya meseji yake ilivyokaa? Do you think its ethical promotion and...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jana asubuhi kwenye kipindi chao hawa jamaa walimshambulia sana bwana Sugu tena maneno makali na kashfa .Je nawe uliyasikia kama mimi ?Unadhani ule ni uungwana ? Kwa nini watumie muda wa takribani...
1 Reactions
83 Replies
9K Views
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, 2011 KITAIFA NA MIAKA 10YA TACAIDS KUFANYIKA SHINYANGA, TAREHE 1 DESEMBA 2011Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inawaarifu wadau wote wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka shutma kubwa ya serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete kufilisika, kigezo kikubwa kilichotumika na baadhi ya watu wanaohalalisha kufilisika huko ni serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru.mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...
37 Reactions
310 Replies
31K Views
Thread hii ni summary ya makala ambayo niliitoa kwenye gazeti la Rai wiki kadhaa zilizopita. Aidha, makala hiyo ilikuwa ni matokeo ya informal survey ambayo nilipata kuifanya siku za nyuma. Kwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kundi la wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini Uingereza limetoa wito wa kufunguliwa mashtaka dhidi ya mtu yeyote aliyehusika katika kashfa ya ufisadi na rushwa kuhusiana na mauzo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Tunapoendelea kutafakari mustakabari wa taifa letu na pengine kutafuta suluhu ya matatizo lukuki yanayotukabili, nimeona niwashirikishe katika kutafakari mojawapo ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi wahusika hamwoni kuwa hawa jamaa wanaoegesha taxi zao kwenye njia ya kuelekea RUCO watasababisha ajari ? Inakuwa ni shida sana kwa magari yanayoingia na kutoka chuoni hawa jamaa wanabana njia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kesho kikwete atahutubia taifa katika sherehe za kuhitimisha mbio za mwenge zitakazo fanyika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam. katika sherehe hizo mwenge utakabidhiwa kwa rais halafu naye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
show inaendelea. mia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Friday, November 25, 2011, 7:17 Mtanzania-biashara Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited (TDL) inayozalisha pombe aina ya Konyagi, imelisaidia Jiji la Dar es Salaam vifaa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
http://www.youtube.com/watch?v=eUB9B2XfxVw&feature=player_embedded http://www.youtube.com/watch?v=naM5bR4DmOU&feature=player_embedded Source: gptz
0 Reactions
180 Replies
23K Views
Mtandao wa airtel umekuwa na matatizo makubwa sana silu hizi kwani haupatikani na uko very unreliable na hawatoi maelezo yoyote. Hii kweli ni saea?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hivi jiji kama mwanza lenye ziwa mjini linakosa maji jiji zima? Leo ni siku ya 7 hakuna maji jiji zima la mwanza,sijui nani alaumiwe? Jamani viongozi wa mwanza embu fanyeni mpango wa maji hii ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima yenu JF.Hadi sasa nashindwa kujua wandishi wa habari wa Tanzania wanawaza kwa kutumia nini. Waandishi wa habari wapo kila pembe ya nchi yetu lakini bado wanaogopa kuongea ukweli wa jamii...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Ndugu zangu wapendwa, hizi pesa zinazotumika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru kwanini zisilipie wadogo zetu walio kosa mikopo ya Higher Education Student Loan Board-HSLB?. Mnajua hii nchi haina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kweli taarifa za waziri wa mambo ya ndani ya nchi na za kamanda Kova hazikuwa za kuchakachua, zilizotiwa mafuta ya kisiasa ili kuhalalisha vyama vya siasa na wanaharakati wengine...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom