Kila jua lichomozapo, watu huanza pilika pilika za kuisaka shilingi pamoja na mahitaji muhimu. Kila mtu anakuwa na haraka ya kutaka kuwahi mambo yake. Ukiwa katika harakati zako unaingia bank kwa...
Muheshimiwa Sugu baada ya ile burudani uliyoitoa pale Dar siku ya tarehe 26/11/2011 sasa imebainika watu wa mikoani nao wanashauku kubwa sana ya kuipata ile ladha ya Anti-Virus uliyowapa watu wa...
Wanajf,
Hivi mama yako akikuambia kuwa baba yako alinibaka, nikapata mimba, ndo ukazaliwa wewe mwanangu X. utamkana baba yako hata kama ubakaji ni kosa la jinai? Huwezi kumkana baba yako kwa...
wanajamii, umofia kwenu!
Kuna gazeti linachapishwa nchini tanzania linaitwa uhuru. Hili gazeti halionekani kwenye meza wala sehemu yoyote ya kuuzia magazeti! Je, kwanini haliingizwi sokoni? Kama...
Aslam alekhum wanajamvi.
Hivi karibuni kumezuka tetesi nyingi sana kuhusiana na serikali yetu kuchelewesha Mishahara.
Ningependa kujua ukweli wa hili jambo kupitia watumishi wa UMMA mliopo humu...
Wna Jf
Nimeona sasa ni bora nitangaze rasmi kuanza harakati za kugombea ubunge,kwani kwa upande wangu naona ndio kazi inayolipa baada ya maposho kebekebe kuongezeka
Posho=elfu 80 nje ya jimbo...
Wanajamvi ninaomba kwa mtu yoyote kutoka Tanesco ama Wizara ya Nishati na Madini(AKA Wizara ya kugawana honoraria bila kufanya kazi) atuweke wazi kama anafahamu lolote kuhusu mgao wa umeme, kwa...
The situation in Tanzania is real seems to be uncertain given the current situation associated with demonstration, unnecessary arrest of civilian, economic hardship, poor social services status...
katika mchezo wa mpira wa miguu kuna aina ya chenga inayofahamika kama kanzu,mpira unapitishwa utosini na adui yako. Taarifa ya habari ya saa mbili leo usiku kuna habari mbili ambazo mkuu wa...
Nasoma gazeti la Raia Mwema, nashangaa kuwa linatuhumu watu bila kuwataja majina, kama halina ubavu wa kutaja majina si likae kimya, uandishi wa kiijumaa kwenye gazeti la siasa sio sahihi!ukiamua...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Diwani wa kata ya Tunduma na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi wamezuru eneo la soko lililoteketea vibaya kwa moto na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi...
Wabunge wetu wamegutuka kufirisika kwa tanganyika ya leo, wakaona wale chao mapema. Wamegundua katiba mpya itawamwaga wengi (2015). Tukta mnapiga kelele wakati na nyie serikali imewapa ofisi?. We...
Kuna tetesi kuwa, UVCCM wanaandaa maandamano ya kumpongeza kwa ujasili wake wa kuusaini mswaada wa kuanza mchakato wa katiba leo. Maandamano haya yatafanyika hapa DSM na mikoani, kwa hapa dsm...
kutakuwa na maandamano ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Dar es salaam ukitokea mkoa wa Pwani. Na utapokelewa na raisi JK.
Swali: hivi haya maandamano ya kuupokea mwenge Al shaabab wameenda likizo?
Hi wana JF! JAMANI SIKU HIZI NAONA HAPA MJINI DAR NA TZ KWA UJUMLA KUNA WATU NA MAGARI YAO WANAWEKA BENDERA ZA NCHI ZA NJE,,TENA KUNA NCHI MOJA AMBAYO WENZETU WA DINI FULANI HUWA WANAENDA SANA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.